Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Nimezipata mdogo wangu sasa nikizimia huku wewe uko masafa ya mbali huko nani atanipepea. Uwe unapunguza vichekesho bwana japokuwa wanaume wa humu ndio raha yao hiyo.hahaaa!! nakusalimu dada
Ukiwaambia we single mother au una zaidi ya miaka 35 huna ndoa basi kwao ndio burdaani na ukicheza cheza wanakuweka kwenye kundi la wapweke sababu ndio maneno yao eti wadada wa jf tumejawa na upweke. Khaaaa