Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
???????????Mchukue ww
Ujue muda wote najiuliza kulikoni ninavyomtibua Kaka GuDume lakini hata kunijibu hanijibu nikawa nina maswali meengi kichwani mwangu.wewe emmyta mimi kwa miaka 40 bado nadai sana we angalia hata kwenye vitabu vya dini umri wa wanaume na wanawake kuoana. mi bado sana dada usinizeeshe kabisa.
simuelewi sababu hata post yake ameandika kichuki ni kama anamsimanga vile...eti miaka yote alikua wapi...wakat kila siku unalala nae.....mi kanikera dadaangu aliolewa na miaka35 na alikua mchamungu mzuri sanaUmeonaeee kwa sababu ye mwenyewe Age go halafu bado anajifanya anamachaguzi yasiyo hata na mashiko.
mm hua naamin hadi msichana anafikisha hio age basi wapo waliojarbu waliomdanganya kweli sikatai pia waliokua na nia ya kumuoa yy mwenyewe akaichezea au waliokua na nia ya kumuoa kwa kua alikua anakula ujana basi hakuwapa nafasiSasa Mkuu kama kwa kipindi chote hicho hakupata wa kumuoa afanyeje sasa zaidi ya kuwa na imani ipo siku itatokea mbali na umri kusonga.
Au Mkuu una maoni gani na wenye hiyo age hivyo wajikatie tamaa kabisa ya kutokuolewa ama? Hebu tusaidiane kwa hili.
Mwanamke mkubwa ana mazuri yake mengi sana kumuoa na kuishi naye lkn kuna changamoto nyingi za kuishi na mtu kama huyo. Kwanza tambua inawezekana kabisa anakukomalia umuoe si kwasababu anakupenda sana bali ni kwa sababu umri unamtupa mkono hivyo yoyote atakayepatikana yy yupo tayari. Kumuoa mtu wa aina hii kuna taabu nyingi sana, ikiwemo kukulazimisha mzae kwa mfululizo bila kufuata uzazi wa mpango kwasababu muda wa kuzaa umemtupa mkono. Mwisho wa siku unakuwa na watoto wamefuatana utazani mapacha na gharama za maisha zilivyo juu kama huna mpunga sijui utafanyeje kusomesha mapacha hao waliopishana miezi. Kwa ujumla kuoa mwanamke mkubwa kuna changamoto ambazo kabla hujamuoa huwezi kuona.I think its not fair
Age does not matter kwenye haya mambo
cha msingi maelewano na upendo wa kweli.Mimi ntaoa ninayempenda hata kama kanizidi 10 years
changamoto ni sehemu ya maisha jombaaMwanamke mkubwa ana mazuri yake mengi sana kumuoa na kuishi naye lkn kuna changamoto nyingi za kuishi na mtu kama huyo. Kwanza tambua inawezekana kabisa anakukomalia umuoe si kwasababu anakupenda sana bali ni kwa sababu umri unamtupa mkono hivyo yoyote atakayepatikana yy yupo tayari. Kumuoa mtu wa aina hii kuna taabu nyingi sana, ikiwemo kukulazimisha mzae kwa mfululizo bila kufuata uzazi wa mpango kwasababu muda wa kuzaa umemtupa mkono. Mwisho wa siku unakuwa na watoto wamefuatana utazani mapacha na gharama za maisha zilivyo juu kama huna mpunga sijui utafanyeje kusomesha mapacha hao waliopishana miezi. Kwa ujumla kuoa mwanamke mkubwa kuna changamoto ambazo kabla hujamuoa huwezi kuona.
Umeona sasa! Ndio sababu Mkuu mie kwenye Post yangu ya kwanza kuchangia kwenye huu uzi nilisema sio kila mwanamke ambaye umri umekwenda basi katumika kiasi cha kwamba hana thamani kabisa ya kuwa mke..simuelewi sababu hata post yake ameandika kichuki ni kama anamsimanga vile...eti miaka yote alikua wapi...wakat kila siku unalala nae.....mi kanikera dadaangu aliolewa na miaka35 na alikua mchamungu mzuri sana
???????????
Nakubaliana nawe lkn zisiwe changamoto za kujitakia. In my own experience I know the pros and cons of marrying older womenchangamoto ni sehemu ya maisha jombaa
in life changamoto ziko kila sehemu
Ni jukumu lako kupambana nazo
if you are strong enough..utatoboa..la sivyo yatakushinda tu..Bila kujali una ndoa na mtu yupi
cc Mzigua90
Jidanganye umri unaenda huo.Kumbe bado nna soko eeh ngoja niendelee kuringa tu[emoji23]
man..these issues are so subjectiveNakubaliana nawe lkn zisiwe changamoto za kujitakia. In my own experience I know the pros and cons of marrying older women