Bila haya Bidada ana miaka 33 anataka nimwoe. Nimemcheck usoni yupo serious kabisa

hahaaa!! nakusalimu dada
Nimezipata mdogo wangu sasa nikizimia huku wewe uko masafa ya mbali huko nani atanipepea. Uwe unapunguza vichekesho bwana japokuwa wanaume wa humu ndio raha yao hiyo.

Ukiwaambia we single mother au una zaidi ya miaka 35 huna ndoa basi kwao ndio burdaani na ukicheza cheza wanakuweka kwenye kundi la wapweke sababu ndio maneno yao eti wadada wa jf tumejawa na upweke. Khaaaa
 
Ukimchukua ndipo utatimiza unabii wa Wahenga " GANDA LA MUWA LA JANA 'GUDUME'KAONA KIVUNO"
 
Kuoa mtu mzima ni ukosefu wa Akili.
 
Umeandika kwa uchungu sana ila ndio hivyo maisha lzm yaendelee
 
hahaha ntakuja kukupepea...huu usingle mama + 35yrs bila mume Wala mchumba unatufanya tubuni njia Mpya yakujipa faraja......
 

Aiseeeee!,Imenibidi nicheke tuu kwahiyo kuna wanaoleta thread humu ili kuwajua single mama na walio over 30?
 
Aiseeeee!,Imenibidi nicheke tuu kwahiyo kuna wanaoleta thread humu ili kuwajua single mama na walio over 30?

Cheka tu swahiba. Ndio zao hizo na shida iliyopo sisi wanawake tusichangie tukawa upande wa pili basi lazima tuambiwe ndio wahusika wakuu kwamba jiwe limetupata kumbe la.

Kuna visa saa nyingine yaani acha kabisa.
 
Diamond yupo na Zari.
Umri unaweza usiwe kigezo sana kama "mke ana akili"...papuchi ni ile ile hata kama imetumika sana
 
Tatzo alikuwa used sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…