Luhamba II
Senior Member
- Mar 22, 2025
- 137
- 219
Tangu pakuche Leo sijapata hata muda wa kutoka nje, nilikua na kazi ya kusajili trademark ta tangu juzi.
Nilichogundua ni kwamba, bila kua na taarifa hizi huwezi kusajili trademark kikamilifu.
1. Signs and Description
Hapa utajaza Jina la trademark, rangi ya trademark na mark type (kama ni trademark au service mark)
2. Taarifa za Mmiliki
Mmiliki wa trademark anaweza kua natural person au Kampuni.
Mfano kama Mmiliki ni Kampuni taarifa hizi zinahitajika
Jina la Kampuni, Incorporation number, address ya Kampuni, na origin (kama ni local au foreign company)
3. Taarifa za muwakilishi
Muwakilishi ni mtu anaefuatilia taarifa moja kwa moja za usajili wa trademark, anaweza kua agent kama Wakili au moja ya wamiliki wa Kampuni husika.
Hapa utatakiwa kujaza namba yake ya NIDA, email, na namba za simu.
4.NICE number, kila kategoria ya bidhaa Ina nice number yake, mfano kama unasajili kilevi kikali basi utajaza Nice no.33 (alcoholic drinks except for beer)
5. Picha
Hapa utatakiwa kujaza picha za logo au bidhaa husika.
Baada ya kujaza taarifa zote hizi utalipia service ya registration na kuendelea na hatua inayofuata.
Hey, naitwa Luhamba Mimi ni mwanasheria na agency freelancer nawasaidia wafanya biashara kama wewe kusajili biashara leseni, Kampuni, trademark na patents.
Kama unahitaji consultation zaidi kuhusu usajili wa trademark na patents unaweza kunitumia ujumbe WhatsApp au call kupitia namba hizi 0678131068.
Your Favorite Lawyer.