Wanaungana na wewe mkuu kwani umeanza kitambo ushogaMashoga yana ongezeka kwa kasi mnoo
Sema usikike au kaa kimya usidharaulike, mambo mengine ukizungumza hata mtoto mdogo anajua huyu ka mkubwa amezidiwa na hana point ya kujitetea kwa hiyo kinachozungumzwa akaishia kukudharau kimya kimya. Bado hujachelewa futa aibu ndogondogo kama hiziSiku hizi upangaji wa matokeo unapingwa sana kwa hiyo mechi za upangaji matokeo zinachezwa kwa mbinu kali sana na inabidi uwe na jicho la ziada kuziona. Ukitaka kujifunza upangaji wa matokeo wa siku hizi ulivyo angalia mechi za Yanga vs Singida au hata Yanga vs Azam hata za msimu ulioisha tu.
Hakuna lolote ENDELEENI kuleta SIASA kwenye Mpira Kwenye Michezo ya Fainal TAIFA STARS itatolewa alfajiri ya saa 10Nidhamu, juhudi, nguvu, umoja, uthubutu, na mshikamano, maamuzi sahihi yenye busara ndani yake, ndivyo ilifanya timu ya Tanzania Taifa stars, kufanya vyema dhidi ya mchezo wa Jana na Algeria.
pongezi kubwa kwa nchini yangu ya Tanzania. Kwa pamoja hatushindwi jambo.
Stars kacheza na Uganda na Niger kashinda mbili kati ya 4. Nazo Algeria alihusika kuibeba?hilo liko wazi,kocha wa taifa star ni m algeria,wamembeba ndugu yao,kibarua kisiote nyasi..
Wajinga hawalijui hili wao wanadhani TAIFA STARS ni Wazuri sana bora wewe umelijuahilo liko wazi,kocha wa taifa star ni m algeria,wamembeba ndugu yao,kibarua kisiote nyasi..
Hilo nililosema linajulikana hata na watoto wadogoSema usikike au kaa kimya usidharaulike, mambo mengine ukizungumza hata mtoto mdogo anajua huyu ka mkubwa amezidiwa na hana point ya kujitetea kwa hiyo kinachozungumzwa akaishia kukudharau kimya kimya. Bado hujachelewa futa aibu ndogondogo kama hizi
Haya mkakae na watoto wenzenu muendelee kujazana upepoHilo nililosema linajulikana hata na watoto wadogo
tukubali tu kwamba waarabu walishindwa kutufunga. walishindwa, though walitamani kutufunga na walipambana sana. na kwa kutokutufunga jana kocha wao kakalia kuti kavu.
Hakika Watanzania hawana shukrani kabisa, badala ya kuimiminia pongezi za dhati nchi ya Algeria kwa kutubeba katika mchezo wa jana bila aibu tunaipongeza Taifa Stars kwa kufuzu baada ya kutoka sare na timu ngumu iliyoamua kutoifunga Taifa Stars, kwani ilikuwa na uwezo kwa kuifunga Taifa Stars hata magoli 10.
Binafsi naipongeza sana Algeria kwa moyo wa huruma wa kutubeba.
Ukikaa kimya hakuna mtu ata kuhoji kuliko kuongea pumbaSiku hizi upangaji wa matokeo unapingwa sana kwa hiyo mechi za upangaji matokeo zinachezwa kwa mbinu kali sana na inabidi uwe na jicho la ziada kuziona. Ukitaka kujifunza upangaji wa matokeo wa siku hizi ulivyo angalia mechi za Yanga vs Singida au hata Yanga vs Azam hata za msimu ulioisha tu.
Mkuu, kwa kawaida siasa ipo kila mahali ingawaje inakwenda kwa mipaka yake kuzingatia kutovunja Sheria.Hakuna lolote ENDELEENI kuleta SIASA kwenye Mpira Kwenye Michezo ya Fainal TAIFA STARS itatolewa alfajiri ya saa 10
Ungekuwa mpole na mwenye unyenyekevu ningekuelimisha ila kwa kuwa unajitutumua kifua nakuachaUkikaa kimya hakuna mtu ata kuhoji kuliko kuongea pumba
Huu ni ukweli mchungu
Hakika Watanzania hawana shukrani kabisa, badala ya kuimiminia pongezi za dhati nchi ya Algeria kwa kutubeba katika mchezo wa jana bila aibu tunaipongeza Taifa Stars kwa kufuzu baada ya kutoka sare na timu ngumu iliyoamua kutoifunga Taifa Stars, kwani ilikuwa na uwezo kwa kuifunga Taifa Stars hata magoli 10.
Binafsi naipongeza sana Algeria kwa moyo wa huruma wa kutubeba.
Waliyamaliza kimilahilo liko wazi,kocha wa taifa star ni m algeria,wamembeba ndugu yao,kibarua kisiote nyasi..
Hivi nyinyi kwa ule msako waliotupa walikua wanatafuta sukari ndani ya kikombe cha chai au nini? Walishindwa tu kutufungaAlgeria wangekuwa wanataka "matokeo" , tungekufa nyingi tu,ndio ukweli.