Bila huruma ya Algeria Taifa Stars isingefuzu, tuipongeze Algeria sio Taifa Stars

Siku hizi upangaji wa matokeo unapingwa sana kwa hiyo mechi za upangaji matokeo zinachezwa kwa mbinu kali sana na inabidi uwe na jicho la ziada kuziona. Ukitaka kujifunza upangaji wa matokeo wa siku hizi ulivyo angalia mechi za Yanga vs Singida au hata Yanga vs Azam hata za msimu ulioisha tu.
Sema usikike au kaa kimya usidharaulike, mambo mengine ukizungumza hata mtoto mdogo anajua huyu ka mkubwa amezidiwa na hana point ya kujitetea kwa hiyo kinachozungumzwa akaishia kukudharau kimya kimya. Bado hujachelewa futa aibu ndogondogo kama hizi
 
Nidhamu, juhudi, nguvu, umoja, uthubutu, na mshikamano, maamuzi sahihi yenye busara ndani yake, ndivyo ilifanya timu ya Tanzania Taifa stars, kufanya vyema dhidi ya mchezo wa Jana na Algeria.

pongezi kubwa kwa nchini yangu ya Tanzania. Kwa pamoja hatushindwi jambo.
Hakuna lolote ENDELEENI kuleta SIASA kwenye Mpira Kwenye Michezo ya Fainal TAIFA STARS itatolewa alfajiri ya saa 10
 
Sema usikike au kaa kimya usidharaulike, mambo mengine ukizungumza hata mtoto mdogo anajua huyu ka mkubwa amezidiwa na hana point ya kujitetea kwa hiyo kinachozungumzwa akaishia kukudharau kimya kimya. Bado hujachelewa futa aibu ndogondogo kama hizi
Hilo nililosema linajulikana hata na watoto wadogo
 
Kukubali kubebwa nao ni ushujaa,wengine hata kubebeka hawawezi wanatafuna mbeleko kama panya.
 
Hakika Watanzania hawana shukrani kabisa, badala ya kuimiminia pongezi za dhati nchi ya Algeria kwa kutubeba katika mchezo wa jana bila aibu tunaipongeza Taifa Stars kwa kufuzu baada ya kutoka sare na timu ngumu iliyoamua kutoifunga Taifa Stars, kwani ilikuwa na uwezo kwa kuifunga Taifa Stars hata magoli 10.

Binafsi naipongeza sana Algeria kwa moyo wa huruma wa kutubeba.
tukubali tu kwamba waarabu walishindwa kutufunga. walishindwa, though walitamani kutufunga na walipambana sana. na kwa kutokutufunga jana kocha wao kakalia kuti kavu.
 
Siku hizi upangaji wa matokeo unapingwa sana kwa hiyo mechi za upangaji matokeo zinachezwa kwa mbinu kali sana na inabidi uwe na jicho la ziada kuziona. Ukitaka kujifunza upangaji wa matokeo wa siku hizi ulivyo angalia mechi za Yanga vs Singida au hata Yanga vs Azam hata za msimu ulioisha tu.
Ukikaa kimya hakuna mtu ata kuhoji kuliko kuongea pumba
 
Algeria wangekuwa wanataka "matokeo" , tungekufa nyingi tu,ndio ukweli.
 
Hakuna lolote ENDELEENI kuleta SIASA kwenye Mpira Kwenye Michezo ya Fainal TAIFA STARS itatolewa alfajiri ya saa 10
Mkuu, kwa kawaida siasa ipo kila mahali ingawaje inakwenda kwa mipaka yake kuzingatia kutovunja Sheria.

mchezo wa soka huwa unaamuliwa kwa matokeo ya aina tatu.
1. Timu kushinda.
2. Timu zote kutoa sare.
3. Timu kufungwa.
lolote linaweza kutoa kwa Taifa stars anaye mkabili baadaye. Tutegemee moja wapo ya matokeo hayo.
 
Hakika Watanzania hawana shukrani kabisa, badala ya kuimiminia pongezi za dhati nchi ya Algeria kwa kutubeba katika mchezo wa jana bila aibu tunaipongeza Taifa Stars kwa kufuzu baada ya kutoka sare na timu ngumu iliyoamua kutoifunga Taifa Stars, kwani ilikuwa na uwezo kwa kuifunga Taifa Stars hata magoli 10.

Binafsi naipongeza sana Algeria kwa moyo wa huruma wa kutubeba.
Huu ni ukweli mchungu
 
Screenshot_20230908-090351_Chrome.jpg
 
wale waarabu wametusaidia sana, sasa sijajua kama ndiyo mambo ya dipi wedi.
 
Back
Top Bottom