Soka ni mchezo wa mbinu. Ikiwa hii mbinu imetutoa basi tuendelee kuitumia.hilo liko wazi,kocha wa taifa star ni m algeria,wamembeba ndugu yao,kibarua kisiote nyasi..
Waaarabu hao . Wanawatengenzea njia DPW
Hakika Watanzania hawana shukrani kabisa, badala ya kuimiminia pongezi za dhati nchi ya Algeria kwa kutubeba katika mchezo wa jana bila aibu tunaipongeza Taifa Stars kwa kufuzu baada ya kutoka sare na timu ngumu iliyoamua kutoifunga Taifa Stars, kwani ilikuwa na uwezo kwa kuifunga Taifa Stars hata magoli 10.
Binafsi naipongeza sana Algeria kwa moyo wa huruma wa kutubeba.
Sipo tayari kujifunza vitu vya hovyo , unaongozwa na mhemko pamoja na ushabiki wangu wa Simba huwezi niambia eti Azam walijifungisha kwa YangaUngekuwa mpole na mwenye unyenyekevu ningekuelimisha ila kwa kuwa unajitutumua kifua nakuacha
Mbona umeichagua tu Azam umeiacha Singida?Sipo tayari kujifunza vitu vya hovyo , unaongozwa na mhemko pamoja na ushabiki wangu wa Simba huwezi niambia eti Azam walijifungisha kwa Yanga
Yaani wewe ndo mwendawazimu kabisa.Siku hizi upangaji wa matokeo unapingwa sana kwa hiyo mechi za upangaji matokeo zinachezwa kwa mbinu kali sana na inabidi uwe na jicho la ziada kuziona. Ukitaka kujifunza upangaji wa matokeo wa siku hizi ulivyo angalia mechi za Yanga vs Singida au hata Yanga vs Azam hata za msimu ulioisha tu.
Kuna watu vijambio vinawapwite kama askari wa Zenji.hivi ule msako unaweza thubutu kusema kwamba algeria wametuonea hurum? tangu lini mwarabu akamuonea huruma mtu mweusi
Chama chajiuza, kibaya chajitembeza. Kama ni timu nzuri itaonekana kwenye fainali. Na kama ni timu mbovu itaonekana. Uzuri ni kuwa mpira siyo siasa useme kuwa mwenye porojo nyingi ndiye mshindi.Nidhamu, juhudi, nguvu, umoja, uthubutu, na mshikamano, maamuzi sahihi yenye busara ndani yake, ndivyo ilifanya timu ya Tanzania Taifa stars, kufanya vyema dhidi ya mchezo wa Jana na Algeria.
pongezi kubwa kwa nchini yangu ya Tanzania. Kwa pamoja hatushindwi jambo.
wakina nani hao ambao vijambio vinapwitaKuna watu vijambio vinawapwite kama askari wa Zenji.
Sasa mtu anakwambia Algeria wametuachia si chizi huyo, mpaka Marhez wamemuingiza wanataka magoli.wakina nani hao ambao vijambio vinapwita
πππ kuna watu yaani basi tu soka wamejulia ukubwaniSasa mtu anakwambia Algeria wametuachia si chizi huyo, mpaka Marhez wamemuingiza wanataka magoli.
Kwanza walivyojazana uwanjani full house wale ni watu wa kumbeba mtu?
Mkuu, kwa mechi waliocheza taifa stars ni kiwango kizuri japo wali-defense Sana. Yote haya ni kupambania matokeo chanya.Chama chajiuza, kibaya chajitembeza. Kama ni timu nzuri itaonekana kwenye fainali. Na kama ni timu mbovu itaonekana. Uzuri ni kuwa mpira siyo siasa useme kuwa mwenye porojo nyingi ndiye mshindi.
Ulipo sema Azam na Yanga nikajua unaongea upuuzi, mechi ipi ya Yanga na Singida ambayo walipanga matokeo?Mbona umeichagua tu Azam umeiacha Singida?
Kuna aina NYINGI ZA UCHAWI!! huu ni mmojawapo!! Kutokufurahia mafanikio ya nyumbani ni uchawi!!
Hakika Watanzania hawana shukrani kabisa, badala ya kuimiminia pongezi za dhati nchi ya Algeria kwa kutubeba katika mchezo wa jana bila aibu tunaipongeza Taifa Stars kwa kufuzu baada ya kutoka sare na timu ngumu iliyoamua kutoifunga Taifa Stars, kwani ilikuwa na uwezo kwa kuifunga Taifa Stars hata magoli 10.
Binafsi naipongeza sana Algeria kwa moyo wa huruma wa kutubeba.
Siku ya mwakyinyo kupingwa hatukujaa kwenye TV?Mbona jamaa walikua wanatafuta goli kwa nguvu sana..
Mpaka mashabiki kwa hasira wakaanz kutupa chupa uwanjani?
Tanzania ina vipaji vingi sana sana vya mpira. Mimi ni mkongwe na nimeanza kusupport timu yetu ya taifa pengine hata kabla wewe hujazaliwa au ukiwa mdogo sana. Nilichogundua ni kuwa kujidanganya timu yetu ni bora wakati haiko hivyo ni ujinga. Serikali ingekuwa imewekeza kwenye kuendeleza vipaji tangu utotoni tungekuwa tunakaribiana na Brazil. Badala yake viongozi wanadandia bogi kila wanapoona fursa ili kujipatia umaarufu wa rahisi na kupumbaza wananchi.Mkuu, kwa mechi waliocheza taifa stars ni kiwango kizuri japo wali-defense Sana. Yote haya ni kupambania matokeo chanya.
Kwa kawaida ni vyema kutoa "support" kwa timu yako hata Kama haitofanya vyema mbeleni, hata ikifungwa lakini ku-support ni jambo jema kuhamasisha wachezaji wetu wa kizalendo.
jifunze kupenda chako hata Kama ni kibaya.
ni wachache sana wanaofikiri nje ya box kama wewe.nchi ya bolivia ya south america,wamezungukwa na wababe wa soka,wamejenga uwanja mlimani kwenye baridi kali,hata kupumua ni kwa mashine wachezaji wa benchi,huko timu kubwa huwa zinafungwa pia...Soka ni mchezo wa mbinu. Ikiwa hii mbinu imetutoa basi tuendelee kuitumia.
Mashindano yajayo, hakuna kuchukua kocha kabla makundi ya Afcon hayajapangwa. Tukipangiwa na mbabe yeyote tunaenda kuchukua kocha huko huko kwao.