Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
- Thread starter
- #21
Labda nikae nianze kuhesabu....Umegonga mbususu ngapi jukwaani hapa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda nikae nianze kuhesabu....Umegonga mbususu ngapi jukwaani hapa?
Hata najua basi?Chiz maarifa stori ya leo ni tofauti na zilizopita au zinafanana?
Ni kweli....si unajua sometime Yes. Sometimes No. Unizoeeeeeee.....weemwenyewe akili mbili.muongo Kama nini
Sasa kama Chizi MAARIFA anawaza kujinyonga vipi Chizi jalalani atawaza Watanzania tuache kudeka tujitume kwa kujilazimisha,kwa nguvu,juhudi na maarifa,bila kujali magumu tunayopitia,🤔Kuna watu wengi humu wapweke sana. Na wengi wana matatizo ya akili. Wengi sana. Kuna mtu utakuta kiakili anaamini anasemwa yeye tu kumbe ndo afya ya akili ime shake hapo. Anakuja kuanzisha uzi humu.
" Mnikome sana. Mnanisema mmenizaa nyie?na mkipata shida msije omba msaada mbwa nyie...mtaishia huko huko na shida zenu."
Huyu unakuta yeye ndo kiakili ana matatizo maji kupwa maji kujaa....so ana imagine vitu havipo.
Mwingine unakuta mpweke hajatongozwa miaka mingi.... Anakuna anzisha uzi.
" Hamnipati nyie wanaume, mimi siyo malaya najiheshimu na waambieni mademu zenu waaache kusema nawachukulia mabwana zao. Uzuri wangu mimi si wa kila mtu naitunza K yangu kwa mwanaume wa kweli...kenge nyie"
Kumbe hajatongozwa ila ana practice kama angekuwa anatongozwa sana na mzuri angekuwa anajibu nini. Anajaribu kujenga attention watu wamfuate private.
Mwingine sababu anadharaulika utakuta tu anaanza jisifia kujimwambafy....
" Mimi ni karimati, demu changer, the gillete n.k yaani anapachika pachika kila neno analolijua ili watu wamjengee attention. Na utakuta huyu kwa siku nyuzi tatu, nne n.k sababu ya upweke na kutafuta attention.
Kuna demu ukisoma nyuzi zake unajua tu ana sonana sijui kisonono...yaani kila wakati anaanzisha uzi. Mara napita mnanisonya, mara wanawake JF mnaniangalia kwa jicho baya, mara nimechoka kutongozwa kila wakati.... Unaona huyu naye ndo wale wale...dish limeyumba, anataka attention n.k
Jamiiforums imesaidia sana watu kama hawa. Wanapata nafasi ya kutoa mawazo yao ambayo huko kwao hamna wa kuyasikiliza. Wakija huku wanakutana na sisi machizi wengine tunawasupport basi wanatabasam wanaghairi kujiua.
Wengi humu wangekuwa wameshajiua nakwambia. Wapweke sana. Jamii imewatenga, imewadharau... Wanakuja huku kujenga heshima. Tuwasaidie...hata mimi mkiona kama kidogo nayumba mnisaidie tu. Au mnapenda mje msikie nimekunywa sumu ya mende?
Humu ndani alikuwepo deogratias..... Network ilikata kabisa. Tukamsaidia siku hizi simwoni. Na jina alikuja badilisha... Akawa anajiita siju Don nani....
Ha ha ha..... Yule ana mental case. Eti yeye anawatoa watu mapepo na yake hajayatoa mpaka leo anaishi nayo.... Nikashangaa sana.🤣🤣🤣🤣We Chizi Maarifa , subiri yule dada anaeondoa majini na kufanya biashara ya mbupu amalize "kuwasaidia" wagonjwa wake wa leo, af kesho aje ajaze majukwaa kwa nyuzi mfululizo.
On a serious note, mimi napendekeza liundwe jukwaa spesho kwa hawa watu wanaomwaga nyuzi kama njugu ili wasijaze server za majukwaa mengine muhimu.
uache uongo 🤣Ni kweli....si unajua sometime Yes. Sometimes No. Unizoeeeeeee.....
Siyo urongo ni kweriii.... Ni kweri kabisa.... Au unataka nikasirike? Ni kweri usibishe.uache uongo 🤣
wee nimuongo sana nyuzizako nyingi nichai😄😄Siyo urongo ni kweriii.... Ni kweri kabisa.... Au unataka nikasirike? Ni kweri usibishe.
😂😂😂😂Kuna mmoja yuko kule kwenye jukwaa la michezo, ana hali mbaya kweli kweli. Maana amepewa mpaka zawadi ya mchongo, ili kumsaidia tu kuimarisha afya yake ya akili, lakini wapi!!
Charismatic fella 😂😂Kuna mmoja yuko kule kwenye jukwaa la michezo, ana hali mbaya kweli kweli. Maana amepewa mpaka zawadi ya mchongo, ili kumsaidia tu kuimarisha afya yake ya akili, lakini wapi!!
Daaah..... Kama zipi? Ni kweli mambo yanakuwa yametokea. Basi tu watu siku hizi hamna imani....🤣wee nimuongo sana nyuzizako nyingi nichai😄😄
Karimatic pera.Charismatic fella 😂😂
Ndio sababu hujibu pm zangu...hahaaaMadebe tupu hayo,, nikishaona mtu ana element za udebe tupu nakaa mbali nae sana
[emoji23][emoji23][emoji23]1. Ukosefu wa ajira
2. Poor time management
3. Kutafuta attention
4. Upweke
5. Sonona
6. Kujawa na hasira au kisirani
Halafu ndo zinakuja
1. Land alienation
2. Poor infrastructure
3. Lack of good management
4. Exploitation
Etc
Unqmzungumzia game changer auKuna mmoja yuko kule kwenye jukwaa la michezo, ana hali mbaya kweli kweli. Maana amepewa mpaka zawadi ya mchongo, ili kumsaidia tu kuimarisha afya yake ya akili, lakini wapi!!
Imefungwa sijui unazungumzia pm ipiNdio sababu hujibu pm zangu...hahaaa
Nakutania mkuu, usijaliImefungwa sijui unazungumzia pm ipi
MkuuJina lako tu nimeamini wewe ni chizi fresh