Bila JF ningekuwa nimeshajinyonga zamani au kufa kwa Stress na upweke

Bila JF ningekuwa nimeshajinyonga zamani au kufa kwa Stress na upweke

Mkuu

Huu uzi unakuhusu aiseh!
JamiiForums-1011977578.gif
 
1. Ukosefu wa ajira
2. Poor time management
3. Kutafuta attention
4. Upweke
5. Sonona
6. Kujawa na hasira au kisirani

Halafu ndo zinakuja
1. Land alienation
2. Poor infrastructure
3. Lack of good management
4. Exploitation
Etc

Halafu ndo zinakuja
5. Lack of capital
6. Natural calamities
7. Hostile neighboring societies
8. Environmental degradation etc.
 
1. Ukosefu wa ajira
2. Poor time management
3. Kutafuta attention
4. Upweke
5. Sonona
6. Kujawa na hasira au kisirani

Halafu ndo zinakuja
1. Land alienation
2. Poor infrastructure
3. Lack of good management
4. Exploitation
Etc
3,4 na 5 ndio zenyewe
 
Ha ha ha..... Yule ana mental case. Eti yeye anawatoa watu mapepo na yake hajayatoa mpaka leo anaishi nayo.... Nikashangaa sana.🤣🤣🤣🤣
Yaani ungekuwa na akili ungetamka jina ila kwasababu ya kichaa chako basi umemsahau nani kakuambia tofauti na mshana nani anaweza hayo mamboo ???

Tatizo hizi simu mmepewa wakati wa xmass kama zawadi na mkawekewa bando ambalo linaishia mwezi wa kwanza mwishoni .

Unajua Kwa akili Yako ya kujiona utaishia kichaa kiukweli ukakosa yanayokuhusu mwenzako humu kafungwa mdomo saivi ni nyuzi za nosamahe haya shauri yako utaenda kukutana na aliyeyumba dishi kweli , mwenye mapepo yake na pia ambaye hana utani akishika jina tu Hili la hapa anajua majina Yako halisi anaanza kuonyesha funga mdomo sio kila mtu mtu
 
Leo hujameza dawa? Meza dawa please hali isije ikabaki hivyo hivyo.
 
Hajanitaja Kwa hiyo sio Mimi angenitana ingekuwa inshu ingine yeye kaongea kuwa yeye nikichaa na anauhitaji wa kusaidia kimawazo ili asije akafaa mapema Kwa stress
Ana bahati sana nilikuwa nashuka naye mzima mzima
 
Back
Top Bottom