Bila Katiba Mpya hakuna mwekezaji atakuja kuwekeza Tanzania, Kenya waula

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
23,683
Reaction score
55,898
Rais mpya wa Kenya amesema nchi yake inakimbiliwa na wawekezji kwasababu kuna demokrasia na hivyo mustakabali wake unatabirika.

Uchaguzi uliyopita umeithubitishia dunia kwamba Kenya Ina misingi imara ya kidemokrasia na hivyo haitayumbishwa na yeyote.

20220921_200131.jpg

Hapa Tanzania kwa katiba ya sasa ambayo imeweka nguvu na mamlaka makubwa kwa mtu (Rais), mwekezaji gani atakuja kuwekeza?

Tutaendelea kutegemea tozo kama chanzo cha mapato mpaka hapo tutakapopata katiba bora.
 
Amka usingizini wewe, kwa Sasa Tanzania chini ya mh Rais wetu mpendwa mama Samia suluhu Hassani ndio chaguo la kwanza kwa wawekezaji katika ukanda huu wa Afrika mashariki na Kati na kusini mwa Afrika, Tanzania ndio kituo Cha kwanza kwa watalii, watalii na wawekezaji kwa Sasa macho na akili zao Ni Tanzania pekee hasa baada ya juhudi kubwa zilizofanywa na mh Rais wetu mpendwa kupitia royal Tour pamoja na kuimarisha diplomasia yetu
 
Unafanya utani braza, wawekezaji wanakuja kama mvua angalia takwimu Za FDI (foreign direct investment)
 
sasa unawekezaje kwenye nchi isiyo hata na dira,akija Rais huyo anakuja na lake akija mwingine anaweka matakataka yake mengine mapya.Dangote kuna muda alitaka kuhama kwasababu ya uzwazwa wa hii nchi.
 
Hakuna nchi Ngumu kama Tanzania kuwekeza,raia tu mwenyewe wa Tanzania kuwekeza ni tabu,hivi vitu kama mtu hajawahi kuwekeza unaweza kuona rais tu lkn ni Ngumu saaana utalipishwa vitu kibao kabla ya kuwekeza.
Kabisa mkuu. Hakuna mwekezaji anaweza kuja hapa akatwe tozo anapotoa hela yake toka benki
 
Hakika tunahitaji mabadiliko makubwa sana
 
Rais mpya wa Kenya amesema nchi yake inakimbiliwa na waekezji kwasababu kuna demokrasia na hivyo mustakabali wake unatabilika.

Uchaguzi uliyopita umeithubitishia dunia kwamba Kenya Ina misingi imara ya kidemokrasia na hivyo haitayumbishwa na yeyote.

View attachment 2363937

Hapa Tanzania kwa katiba ya sasa ambayo imeweka nguvu na mamlaka makubwa kwa mtu (Rais), mwekezaji gani atakuja kuwekeza?

Tutaendelea kutegemea tozo kama chanzo cha mapato mpaka hapo tutakapopata katiba bora.
Porojo hizo za kujifariji,kama demokrasia ndio inaleta wawekezaji basi Kenya ilitakiwa iwazidi Egypt na Morocco kwenye Uchumi maana hao hawana hiyo demokrasia na Wana uchumi ok mara na wawekezaji wanakimbilia hizo Nchi..

Mwisho Wawekezaji wanakuja Sana tuu hapa Tanzania so kikubwa ni kupunguza au kuondoa vikwazo vya wawekezaji.
 
Mfano, katiba mpya ikapatikana na wale covid wakaondolewa bungeni, chadema mtakuja na slogan ipi.?
 
Rais mpya wa Kenya amesema nchi yake inakimbiliwa na waekezji kwasababu kuna demokrasia na hivyo mustakabali wake unatabilika.

Uchaguzi uliyopita umeithubitishia dunia kwamba Kenya Ina misingi imara ya kidemokrasia na hivyo haitayumbishwa na yeyote.

View attachment 2363937

Hapa Tanzania kwa katiba ya sasa ambayo imeweka nguvu na mamlaka makubwa kwa mtu (Rais), mwekezaji gani atakuja kuwekeza?

Tutaendelea kutegemea tozo kama chanzo cha mapato mpaka hapo tutakapopata katiba bora.
Tumewekeza kwenye MWENGE wa UHURU
 
Akina Mkandala na akina Mahera waione hii😅😅
 
Porojo hizo za kujifariji,kama demokrasia ndio inaleta wawekezaji basi Kenya ilitakiwa iwazidi Egypt na Morocco kwenye Uchumi maana hao hawana hiyo demokrasia na Wana uchumi ok mara na wawekezaji wanakimbilia hizo Nchi..

Mwisho Wawekezaji wanakuja Sana tuu hapa Tanzania so kikubwa ni kupunguza au kuondoa vikwazo vya wawekezaji.
Wale ni wazungu/ waarabu usilinganishe na hawa wenye Majina ya Donald Trump.

Hata hivyo kenya is heading.
 
Back
Top Bottom