Hahaha! Hii nchi ngumu hii.Hii nchi haitaweza kuendelea milele kama bado tutaendelea kukimbiza mwenge( UCHAWI) hii ndiyo laana ya nchi hii inapoanzia..
Umeongea kiuchawa zaidUnafanya utani braza, wawekezaji wanakuja kama mvua angalia takwimu Za FDI ( foreign direct investment)
Kabisa mkuu. Hakuna mwekezaji anaweza kuja hapa akatwe tozo anapotoa hela yake toka benkiHakuna nchi Ngumu kama Tanzania kuwekeza,raia tu mwenyewe wa Tanzania kuwekeza ni tabu,hivi vitu kama mtu hajawahi kuwekeza unaweza kuona rais tu lkn ni Ngumu saaana utalipishwa vitu kibao kabla ya kuwekeza.
Kama raia wanatozwa tozo wakiweka hela zao kwenye simu na benki, vipi upande wa watalii? Si ndiyo watatozwa tozo ya kujisaidia?Tanzania ndio kituo Cha kwanza kwa watalii, watalii na wawekezaji
Porojo hizo za kujifariji,kama demokrasia ndio inaleta wawekezaji basi Kenya ilitakiwa iwazidi Egypt na Morocco kwenye Uchumi maana hao hawana hiyo demokrasia na Wana uchumi ok mara na wawekezaji wanakimbilia hizo Nchi..Rais mpya wa Kenya amesema nchi yake inakimbiliwa na waekezji kwasababu kuna demokrasia na hivyo mustakabali wake unatabilika.
Uchaguzi uliyopita umeithubitishia dunia kwamba Kenya Ina misingi imara ya kidemokrasia na hivyo haitayumbishwa na yeyote.
View attachment 2363937
Hapa Tanzania kwa katiba ya sasa ambayo imeweka nguvu na mamlaka makubwa kwa mtu (Rais), mwekezaji gani atakuja kuwekeza?
Tutaendelea kutegemea tozo kama chanzo cha mapato mpaka hapo tutakapopata katiba bora.
Tumewekeza kwenye MWENGE wa UHURURais mpya wa Kenya amesema nchi yake inakimbiliwa na waekezji kwasababu kuna demokrasia na hivyo mustakabali wake unatabilika.
Uchaguzi uliyopita umeithubitishia dunia kwamba Kenya Ina misingi imara ya kidemokrasia na hivyo haitayumbishwa na yeyote.
View attachment 2363937
Hapa Tanzania kwa katiba ya sasa ambayo imeweka nguvu na mamlaka makubwa kwa mtu (Rais), mwekezaji gani atakuja kuwekeza?
Tutaendelea kutegemea tozo kama chanzo cha mapato mpaka hapo tutakapopata katiba bora.
Tunaabudu moto badala vitu vya msingi???Tumewekeza kwenye MWENGE wa UHURU
Akina Mkandala na akina Mahera waione hii😅😅Rais mpya wa Kenya amesema nchi yake inakimbiliwa na waekezji kwasababu kuna demokrasia na hivyo mustakabali wake unatabilika.
Uchaguzi uliyopita umeithubitishia dunia kwamba Kenya Ina misingi imara ya kidemokrasia na hivyo haitayumbishwa na yeyote.
View attachment 2363937
Hapa Tanzania kwa katiba ya sasa ambayo imeweka nguvu na mamlaka makubwa kwa mtu (Rais), mwekezaji gani atakuja kuwekeza?
Tutaendelea kutegemea tozo kama chanzo cha mapato mpaka hapo tutakapopata katiba bora.
Walete kwanza Katiba Mpya utaona kitakachofataMfano, katiba mpya ikapatikana na wale covid wakaondolewa bungeni, chadema mtakuja na slogan ipi.?
Wale ni wazungu/ waarabu usilinganishe na hawa wenye Majina ya Donald Trump.Porojo hizo za kujifariji,kama demokrasia ndio inaleta wawekezaji basi Kenya ilitakiwa iwazidi Egypt na Morocco kwenye Uchumi maana hao hawana hiyo demokrasia na Wana uchumi ok mara na wawekezaji wanakimbilia hizo Nchi..
Mwisho Wawekezaji wanakuja Sana tuu hapa Tanzania so kikubwa ni kupunguza au kuondoa vikwazo vya wawekezaji.