Bila kuiondoa CCM, watanzania msahau kabisa maendeleo.

Bila kuiondoa CCM, watanzania msahau kabisa maendeleo.

Hizi taasisi zetu zimebaki kuwa magofu ya kulinda wachache tu, maskini hana chake. Yaani bila kufanya total overhaul ya huu mfumo, tutaendelea kulishwa upepo hadi karne ijayo.

CCM ishatengeneza mfumo ambao unanufaika na ujinga na umaskini wa wananchi ili waendelee kutawala kirahisi.
 
Gentleman,
kuna vitu ukitamani kuvibadilisha huhitaji mihemko, makasiriko wala ramli.

ni discipline katika kubuni, kupanga na kutekeleza mipango mikakati ya mabadiliko unayotamani.

kwa porojo kama hizo za mtoa hoja mahususi mezani, it's just useless and completely nonsense narrative, it can never work anywhere in the world 🐒
😂😂.. hii ndo sink tank ya CCM.. no wonder Tz is what it is.. a shythole nation, with dumbs like you.. the starting point would be to enlighten the masses through social media and that's what this thread is about..
 
Hizi taasisi zetu zimebaki kuwa magofu ya kulinda wachache tu, maskini hana chake. Yaani bila kufanya total overhaul ya huu mfumo, tutaendelea kulishwa upepo hadi karne ijayo.

CCM ishatengeneza mfumo ambao unanufaika na ujinga na umaskini wa wananchi ili waendelee kutawala kirahisi.
True dat! Ndo maana unazisikia ng'ombe kadhaa zinatoa milio likiguswa swala katiba mpya.. wanajuwa dimbwi likikaushwa, vyura na kono kono mwisho wao ndo utakuwa umewadia..
 
5. Mtoa hoja naye ni feki. Akiambiwa aandamane barabarani kuyadai hayo anayotaka yawe anaogopa eti Polisi feki watamshughulia. Anaamua kuja JF na jina bandia halafu anajiita mdai haki na maendeleo! Ahahahahaha!!
Hahaa.. CCM wanateneneza institution feki kama Tume ya Uchaguzi.. halafu kumbe matokeo wanayo tayari.. Intent na approach inaonekana ni genuine ili kuwahadaa wananchi, kumbe kila kitu ni feki, feki kabisa. Maccm yanabumba bumba chuo na kukifanya chuo kikuu, lakini kimsingi hicho ni chuo kikuu feki kwa sababu wanaohitimu wanakuwa feki, hawajui lolote wanalodai walifundishwa. Utashangaa eti kuna wahitimu wa kozi za uhandisi wakati miradi ya kihandisi wanachukuwa wachina nabwahindi au wahandisi wa nje. Maana yake wahandisi wa ndani ni feki kwani wamefunzwa kutoka vyuo feki, fek kabisa. Masisem ni mabingwa wa udanganyifu nashangaa hawamo kwenye kitabu cha Guinness..
Hatari sana hizi ng'ombe
 
😂😂.. hii ndo sink tank ya CCM.. no wonder Tz is what it is.. a shythole nation, with dumbs like you.. the starting point would be to enlighten the masses through social media and that's what this thread is about..
Gentleman,
you can insult and call people bad names as you can. Without discipline,
any struggle is completely nonsense.

take that to the bank 🐒
 
Back
Top Bottom