Bila kujali kelele na yaliyosemwa juu ya Hayati Magufuli, kuna ulazima wa haraka sana kumpata mwingine wa aina yake

JPM amesahihisha au ameleta uchafu wa aina nyingine? Mbaguzi huyu, muuaji, msababisha hasara, …. Hivi watanzania akili zenu zipo wapi?
Una ushahidi kazi kupayuka tu,muliropoka kwa Sabaya kawabwaga Mahakamani mmebaki na aibu.
Weka evidence hapa kwamba watu waliokufa walikufa kwa amri ya JPM,hatutaki hoja za Facebook hapa JF!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Hii unayoisema ndiyo failure ya JPM kipindi cha uongozi wake. Halishidwa kabisa kuwekeza kwenye mifumo ambayo ingekuwa endelevu. Pia tofautisheni nidhamu ya kufanya kazi na uoga wa kufukuzwa kazi. Kazi upimwa kwa tija na siyo kuwahi na kukaa ofisini. Uanzishwaji na usimamizi wa mirada alifanya ndiyo, lakini uongo ulikuwa mwingi na takwimu za miradi mingi zilipikwa. Pesa iliyokopwa na kutumika vilevile ilikuwa kubwa japo kwa uongo wa serikali yake tuliaminishwa ni mapato ya ndani. Aina ya njia alizozitumia kukusanya mapato pia ziliaribu uchumi na serikali zitakazofuata zitaendelea kuuguza vidonda.

Tatizo kubwa la nchi yetu ni uongozi hasa wa chama cha mapinduzi ambao wanajali kwanza maslahi binafsi. Hawana uchungu na rasilimali za nchi na wananchi wake. JPM aligeuza utumishi wa umma kama tawi la chama, na sasa inawalazimu vijana wajikombe kwa matumaini ya kupata ajira au teuzi.

Kama kuna kosa jingine kubwa alilolifanya ni kuuwa na watu kupotea, kugandamiza haki za binadamu na demokrasia. Yeye na genge lake dhambi hii itaendelea kuwatafuna milele.
 
Kuandika kwenyewe tu kunakushinda, utakuwa na uchungu wapi wa kuwakomboa wajinga wengi waliojaa nchi hii?

Halishindwa = Alishindwa!
 
Mimi pia niweke wazi Nina element za ki JPM japo Kuna mambo sikukubaliana nae.....

Mwingine ni zero brain 🧠 Paul makonda namwona ana uthubutu sana...
 
Nchi iliyojaa wajinga namna hii, yeyote mwenye akili timamu atakayeongoza tena, atafanya kama unavyomlaumu JPM
 
NEver, never, never again. Km unataka mtu mshamba katili mfuate aliko, km yule hawezi tokea hapa kwetu
 
NEver, never, never again. Km unataka mtu mshamba katili mfuate aliko, km yule hawezi tokea hapa kwetu
Ulichoandika kimenifurahisha, ila itoshe kusema, wewe ni binadamu mwenye sifa zote za kufa

Huna jibu la mwisho kuihusu nchi na hata maisha ya binadamu mwenzako

Anza kuelimika basi na muache ujinga wenu maccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…