Bila kujali kelele na yaliyosemwa juu ya Hayati Magufuli, kuna ulazima wa haraka sana kumpata mwingine wa aina yake

JPM amesahihisha au ameleta uchafu wa aina nyingine? Mbaguzi huyu, muuaji, msababisha hasara, …. Hivi watanzania akili zenu zipo wapi?
Una ushahidi kazi kupayuka tu,muliropoka kwa Sabaya kawabwaga Mahakamani mmebaki na aibu.
Weka evidence hapa kwamba watu waliokufa walikufa kwa amri ya JPM,hatutaki hoja za Facebook hapa JF!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Hata kama staandika matarajio yako, kifupi ni kwamba, Tanzania inahitaji tena na kwa haraka mno mtu mwenye mfanano na hayati JPM,

Watanzania acheni kuendekeza ujinga, uzembe na ulalamishi

Wengi wenu ni walalamishi na msiopenda kabisa kufanya kazi, (wavivu wa kupindukia) mnapenda starehe bila kujali mnachoingiza

Familia zote masikini chanzo ni baba legelege, baba asiyeweka mfumo na mwongozo thabiti juu ya watoto wake, ni kuandaa mababa wengine walioferi maisha tokea kwa makuzi yao

Nikikumbuka kipindi cha huyo mwamba, kila mtu alipenda kufanya kazi, maofisini nako vile vile kwa sababu baba alikuwa ni mchapa kazi, mkemea uzembe, mkemea wezi na kila maovu,

JPM alikuwa ni mwalimu mzuri wa mapato na matumizi pia

Na ndiyo maana karibu kila mradi ulikuwa ukienda vema kwa sababu shilingi ilikuwa haipotei ovyovyo,

Nikiangalia sasa tulipo na tunavyokwenda, tulivyokopa matrilioni na bado miradi ya kimkakati inasuasua

Mgogoro wa Wizara ya Nishati na wananchi, ni kama kumekosekana mtu wa kuutibu huu mgogoro, visingizio viingi na havijawahi kuisha

Kama tunataka kuwa nchi inayopiga hatua kiuchumi na kuwa nchi inayoheshimika nje ndani, basi tunamhitaji mfano wa mtu aliyepita, yaani JPM wa pili ili akabiliane na wezi, waongo, wazembe, chawa n.k

wa kufokafoka karibuni mfoke, na sababu ni moja tu, maslahi yenu yaliyojengwa kwenye wizi na ujanjaunja, ndiyo huwa hamtakaki viongozi kama hao!
Hii unayoisema ndiyo failure ya JPM kipindi cha uongozi wake. Halishidwa kabisa kuwekeza kwenye mifumo ambayo ingekuwa endelevu. Pia tofautisheni nidhamu ya kufanya kazi na uoga wa kufukuzwa kazi. Kazi upimwa kwa tija na siyo kuwahi na kukaa ofisini. Uanzishwaji na usimamizi wa mirada alifanya ndiyo, lakini uongo ulikuwa mwingi na takwimu za miradi mingi zilipikwa. Pesa iliyokopwa na kutumika vilevile ilikuwa kubwa japo kwa uongo wa serikali yake tuliaminishwa ni mapato ya ndani. Aina ya njia alizozitumia kukusanya mapato pia ziliaribu uchumi na serikali zitakazofuata zitaendelea kuuguza vidonda.

Tatizo kubwa la nchi yetu ni uongozi hasa wa chama cha mapinduzi ambao wanajali kwanza maslahi binafsi. Hawana uchungu na rasilimali za nchi na wananchi wake. JPM aligeuza utumishi wa umma kama tawi la chama, na sasa inawalazimu vijana wajikombe kwa matumaini ya kupata ajira au teuzi.

Kama kuna kosa jingine kubwa alilolifanya ni kuuwa na watu kupotea, kugandamiza haki za binadamu na demokrasia. Yeye na genge lake dhambi hii itaendelea kuwatafuna milele.
 
Kuandika kwenyewe tu kunakushinda, utakuwa na uchungu wapi wa kuwakomboa wajinga wengi waliojaa nchi hii?

Halishindwa = Alishindwa!
 
Hata kama staandika matarajio yenu, kifupi ni kwamba, Tanzania inahitaji tena na kwa haraka mno mtu mwenye mfanano na hayati JPM.

Watanzania acheni kuendekeza ujinga, uzembe na ulalamishi.

Wengi wenu ni walalamishi na msiopenda kabisa kufanya kazi, (wavivu wa kupindukia) mnapenda starehe bila kujali mnachoingiza.

Familia zote masikini chanzo ni baba legelege, baba asiyeweka mfumo na mwongozo thabiti juu ya watoto wake, ni kuandaa mababa wengine walioferi maisha tokea kwa makuzi yao.

Nikikumbuka kipindi cha huyo mwamba, kila mtu alipenda kufanya kazi, maofisini nako vile vile kwa sababu baba alikuwa ni mchapa kazi, mkemea uzembe, mkemea wezi na kila maovu.

JPM alikuwa ni mwalimu mzuri wa mapato na matumizi pia, kila kilichokuwa kikipatikana, kilielekezwa sehemu hisika tu na kufuatiliwa kwa ukaribu.

Na ndiyo maana karibu kila mradi ulikuwa ukienda vema kwa sababu shilingi ilikuwa haipotei ovyovyo,

Nikiangalia sasa tulipo na tunavyokwenda, tumekopa matrilioni ya shilingi, na bado miradi ya kimkakati inasuasua, nani aseme tupo kwenye njia sahihi? Hivi ni nani mpaka muda huu kawajibishwa kwenye ripot ya CAG iliyovunja records ya upotevu wa mabilion ya shilingi, nani kajihudhuru walau tuweke imani kwa wanaotuongoza? Nani kafikishwa mahakamani ili tuseme tunatendea haki wananchi??

Mgogoro wa Wizara ya Nishati na wananchi, ni kama kumekosekana mtu wa kuutibu huu mgogoro, visingizio viingi na havijawahi kuisha, kwa nini tuwe na mgao wa umeme? Tunakosa nini yaani, mwenye jibu wa swali hili nitamlipia ya bando la mwezi mzima, kwa nini kuwe na mgao wa umeme Tanzania kama siyo ulegelege na uzembe tu uliokubuhu?

Kama tunataka kuwa nchi inayopiga hatua kiuchumi na kuwa nchi inayoheshimika nje ndani, basi tunamhitaji mfano wa mtu aliyepita, yaani JPM asiyeogopa kufa kwa ajili ya maisha ya wengi ili akabiliane na wezi, mafisadi, wazembe na makuwadi wa kisiasa, wazembe na machawa yaliyokosa kazi za kufanya, yanaabudu watu ili yalipwe!

Wale kufokafoka karibuni mfoke, na sababu ni moja tu, maslahi yenu yaliyojengwa kwenye wizi na ujanjaunja, ndiyo huwa hamtakaki viongozi kama hao!
Mimi pia niweke wazi Nina element za ki JPM japo Kuna mambo sikukubaliana nae.....

Mwingine ni zero brain 🧠 Paul makonda namwona ana uthubutu sana...
 
Hii unayoisema ndiyo failure ya JPM kipindi cha uongozi wake. Halishidwa kabisa kuwekeza kwenye mifumo ambayo ingekuwa endelevu. Pia tofautisheni nidhamu ya kufanya kazi na uoga wa kufukuzwa kazi. Kazi upimwa kwa tija na siyo kuwahi na kukaa ofisini. Uanzishwaji na usimamizi wa mirada alifanya ndiyo, lakini uongo ulikuwa mwingi na takwimu za miradi mingi zilipikwa. Pesa iliyokopwa na kutumika vilevile ilikuwa kubwa japo kwa uongo wa serikali yake tuliaminishwa ni mapato ya ndani. Aina ya njia alizozitumia kukusanya mapato pia ziliaribu uchumi na serikali zitakazofuata zitaendelea kuuguza vidonda.

Tatizo kubwa la nchi yetu ni uongozi hasa wa chama cha mapinduzi ambao wanajali kwanza maslahi binafsi. Hawana uchungu na rasilimali za nchi na wananchi wake. JPM aligeuza utumishi wa umma kama tawi la chama, na sasa inawalazimu vijana wajikombe kwa matumaini ya kupata ajira au teuzi.

Kama kuna kosa jingine kubwa alilolifanya ni kuuwa na watu kupotea, kugandamiza haki za binadamu na demokrasia. Yeye na genge lake dhambi hii itaendelea kuwatafuna milele.
Nchi iliyojaa wajinga namna hii, yeyote mwenye akili timamu atakayeongoza tena, atafanya kama unavyomlaumu JPM
 
Hata kama staandika matarajio yenu, kifupi ni kwamba, Tanzania inahitaji tena na kwa haraka mno mtu mwenye mfanano na hayati JPM,

Watanzania acheni kuendekeza ujinga, uzembe na ulalamishi

Wengi wenu ni walalamishi na msiopenda kabisa kufanya kazi, (wavivu wa kupindukia) mnapenda starehe bila kujali mnachoingiza

Familia zote masikini chanzo ni baba legelege, baba asiyeweka mfumo na mwongozo thabiti juu ya watoto wake, ni kuandaa mababa wengine walioferi maisha tokea kwa makuzi yao

Nikikumbuka kipindi cha huyo mwamba, kila mtu alipenda kufanya kazi, maofisini nako vile vile kwa sababu baba alikuwa ni mchapa kazi, mkemea uzembe, mkemea wezi na kila maovu, JPM aliwakemea mpaka viongozi wastasfu kwa sababu alijua nini anafanya juu ya nchi hii yenye watu masikini na sio tu masini, bali pia ni nchi yenye wajinga wenge!

JPM alikuwa ni mwalimu mzuri wa mapato na matumizi pia, kila kilichokuwa kikipatikana, kilielekezwa sehemu hisika tu na kufuatiliwa kwa ukaribu

Na ndiyo maana karibu kila mradi ulikuwa ukienda vema kwa sababu shilingi ilikuwa haipotei ovyovyo,

Nikiangalia sasa tulipo na tunavyokwenda, tumekopa matrilioni ya shilingi, na bado miradi ya kimkakati inasuasua, nani aseme tupo kwenye njia sahihi? Hivi ni nani mpaka muda huu kawajibishwa kwenye ripot ya CAG iliyovunja records ya upotevu wa mabilion ya shilingi, nani kajihudhuru walau tuweke imani kwa wanaotuongoza? Nani kafikishwa mahakamani ili tuseme tunatendea haki wananchi??

Mgogoro wa Wizara ya Nishati na wananchi, ni kama kumekosekana mtu wa kuutibu huu mgogoro, visingizio viingi na havijawahi kuisha, kwa nini tuwe na mgao wa umeme?? Tunakosa nini yaani, mwenye jibu wa swali hili nitamlipia ya bando la mwezi mzima, kwa nini kuwe na mgao wa umeme Tanzania kama siyo ulegelege na uzembe tu uliokubuhu??

Kama tunataka kuwa nchi inayopiga hatua kiuchumi na kuwa nchi inayoheshimika nje ndani, basi tunamhitaji mfano wa mtu aliyepita, yaani JPM asiyeogopa kufa kwa ajili ya maisha ya wengi ili akabiliane na wezi, mafisadi, wazembe na makuwadi wa kisiasa, wazembe na machawa yaliyokosa kazi za kufanya, yanaabudu watu ili yalipwe!

Wale kufokafoka karibuni mfoke, na sababu ni moja tu, maslahi yenu yaliyojengwa kwenye wizi na ujanjaunja, ndiyo huwa hamtakaki viongozi kama hao!
NEver, never, never again. Km unataka mtu mshamba katili mfuate aliko, km yule hawezi tokea hapa kwetu
 
Ulichoandika kimenifurahisha, ila itoshe kusema, wewe ni binadamu mwenye sifa zote za kufa

Huna jibu la mwisho kuihusu nchi na hata maisha ya binadamu mwenzako

Anza kuelimika basi na muache ujinga wenu maccm
 
Back
Top Bottom