Bila kujali kelele na yaliyosemwa juu ya Hayati Magufuli, kuna ulazima wa haraka sana kumpata mwingine wa aina yake

Kiashiria kingine cha wewe kuwa muongo, ni kuogopa hata kutaja majina ya unaosema walikuibia pesa
Hawajaniibia pesa maana mimi sio mjamaa bali mbepari siamini katika serikali kunipa maisha. Najua kuwa inabidi nijitafutie maisha. Hauwezi kulalamika hela ya serikali inapigwa wakati haulipi kodi. JPM alikuwa raisi wa wajinga na wavivu wa kufikiri. Akiwabeba wasukuma wazi wazi lakini hawakubebeka. Ukweli ni kuwa mfumo wa JPM ni kama wa mama tofauti ni kuwa wakati wa Mama kila mtu anakula lakini wakati wa JPM ilikuwa ulaji ni wa kikosi kazi tu yaani wasukuma (watu wa kanda ya ziwa).
 
Hawajaniibia pesa maana mimi sio mjamaa bali mbepari siamini katika serikali kunipa maisha. Najua kuwa inabidi nijitafutie maisha. Hauwezi kulalamika hela ya serikali inapigwa wakati hailipi kodi. JPM alikuwa raisi wa wajinga na wavivu wa kufikiri. Akiwabeba wasukuma wazi wazi lakini hawakubebeka. Ukweli ni kubwa mfumo wa JPM ni kama wa mama tofauti ni kuwa wakati wa Mama kila mtu anakula lakini wakati wa JPM ilikuwa ulaji ni wa kikosi kazi tu yaani wasukuma (watu wa kanda ya ziwa).
Kwa sababu huna ushahidi bali ni maumivu ya kile kilichowapumbaza wengi wa watanzania, uvivu, uwongo, usengenyaji na kupenda maisha chiper!

Hii unayo wewe kwa asilimia zote!

JPM alikuwa mbaya kwa wabaya wa nchi hii na miongoni mwao na wewe pengine uliguswa

Hauwezi kupenda kamwe ikiwa masilahi yako ya kiujanjaunjanja yaliguswa

Wengi wao walikuwa wajinga walioingizwa kwenye mfumo kiundugu, watu aina hiyo kamwe hawatawahi kumkubali mtu aina hiyo mwenye kuponya wengi na kuwafyeka hao walioiweka nchi mfukoni mwao
 
Yule pimbi alitawaliwa na ushamba, ubabe wa kijinga, uwongo na wizi. Tamzania mtu wa namna hiyo hana nafasi tena. Kama unatamani mtu wa hivyo nenda na wewe kachimbe kaburi lako Chato muzikwe jirani
Ulichoandika, umekielewa?
 
Dhana ya kwamba “mtu fulani” ndiye anayefaa kuiongoza Tanzania ni dhana mfu au batili. It’s, simply put, a logical FALLACY!

Kiongozi sahihi wa nchi hii ni yule atakayepatikana kwa kura halali za Watanzania katika uchaguzi huru na wa haki. Siku chaguo la wananchi na maamuzi yao yatakapoanza kuheshimiwa ndipo siku mwanga wa maendeleo na ustaarabu utakapoanza kuangazia nchi hii. Lazima wananchi wawe na nguvu ya kuweka na kuondoa viongozi wa nchi kidemokrasia.

Kutamani kuongozwa na madikteta, “zero-brain”, “waswahili”, machawa na takataka za aina hiyo ni ujinga mkubwa uliojengeka taratibu tangu mwanzo wa nchi hii chini ya chama kilichong’ang’ania madarakani hadi leo. Ni msiba mkubwa wa taifa unaotakiwa kufika mwisho sasa. Kinyume cha hapo maombolezo yataendelea hadi nchi ifikie hatua ya “failed state”.
 
Hata kama staandika matarajio yenu, kifupi ni kwamba, Tanzania inahitaji tena na kwa haraka mno mtu mwenye mfanano na hayati JPM,

Watanzania acheni kuendekeza ujinga, uzembe na ulalamishi

Wengi wenu ni walalamishi na msiopenda kabisa kufanya kazi, (wavivu wa kupindukia) mnapenda starehe bila kujali mnachoingiza

Familia zote masikini chanzo ni baba legelege, baba asiyeweka mfumo na mwongozo thabiti juu ya watoto wake, ni kuandaa mababa wengine walioferi maisha tokea kwa makuzi yao

Nikikumbuka kipindi cha huyo mwamba, kila mtu alipenda kufanya kazi, maofisini nako vile vile kwa sababu baba alikuwa ni mchapa kazi, mkemea uzembe, mkemea wezi na kila maovu, JPM aliwakemea mpaka viongozi wastasfu kwa sababu alijua nini anafanya juu ya nchi hii yenye watu masikini na sio tu masini, bali pia ni nchi yenye wajinga wenge!

Hayati Magufuli alikuwa ni mwalimu mzuri wa mapato na matumizi pia, kila kilichokuwa kikipatikana, kilielekezwa sehemu hisika tu na kufuatiliwa kwa ukaribu

Na ndiyo maana karibu kila mradi ulikuwa ukienda vema kwa sababu shilingi ilikuwa haipotei ovyovyo,

Nikiangalia sasa tulipo na tunavyokwenda, tumekopa matrilioni ya shilingi, na bado miradi ya kimkakati inasuasua, nani aseme tupo kwenye njia sahihi? Hivi ni nani mpaka muda huu kawajibishwa kwenye ripot ya CAG iliyovunja records ya upotevu wa mabilion ya shilingi, nani kajihudhuru walau tuweke imani kwa wanaotuongoza? Nani kafikishwa mahakamani ili tuseme tunatendea haki wananchi??

Mgogoro wa Wizara ya Nishati na wananchi, ni kama kumekosekana mtu wa kuutibu huu mgogoro, visingizio viingi na havijawahi kuisha, kwa nini tuwe na mgao wa umeme?? Tunakosa nini yaani, mwenye jibu wa swali hili nitamlipia ya bando la mwezi mzima, kwa nini kuwe na mgao wa umeme Tanzania kama siyo ulegelege na uzembe tu uliokubuhu?

Kama tunataka kuwa nchi inayopiga hatua kiuchumi na kuwa nchi inayoheshimika nje ndani, basi tunamhitaji mfano wa mtu aliyepita, yaani JPM asiyeogopa kufa kwa ajili ya maisha ya wengi ili akabiliane na wezi, mafisadi, wazembe na makuwadi wa kisiasa na machawa yaliyokosa kazi za kufanya, yanaabudu watu ili yalipwe badala ya kufanya kazi halali!

Wale kufokafoka karibuni mfoke, na sababu ni moja tu, maslahi yenu yaliyojengwa kwenye wizi na ujanjaunja, ndiyo huwa hamtakaki viongozi kama hao!

Mwisho, Ipo siku itajulikana iwapo Rasilimali Mungu alizotupa zilipaswa kulindwa kwa nguvu na kwa jicho la husuda kama alivyokuwa akifanya JPM na au tuendelee kuziona ni kama Mungu alituwekea kwa bahati mbaya na hatuzitaki!
Watalaam wa uchumi wanasema nchi inahitaji mifumo kuliko haiba binafsi za viongozi.

Huyo mwenye sifa za JPM nae atapita tu na kuondoka zake na kila atakachofanya kwa ujasiri wake kuna siku kitakuwa ni historia tu.

JPM kwa kuonekana anafanya kazi na kusifiwa na watz wa aina yako upande wa pili aliumiza sana watu haswa wafanya biashara wachache.
 
Ninapanga kuja kuandika kitabu hapo baadae, ntakiita Mtawala Mwanasayansi. Humo ndani ntamzungumzia JPM Chuma cha pua, na viongozi wengine waliyoongoza kwa mbinu za kisayansi na siasa kidogo. Nchi za kiafrica zinakosa sana utawala wa Kisayansi, na bila Sayansi haiwezekani kutatua Changamoto za watu, sayansi ni Hisabati
 
Hata kama staandika matarajio yenu, kifupi ni kwamba, Tanzania inahitaji tena na kwa haraka mno mtu mwenye mfanano na hayati JPM,

Mwisho, Ipo siku itajulikana iwapo Rasilimali Mungu alizotupa zilipaswa kulindwa kwa nguvu na kwa jicho la husuda kama alivyokuwa akifanya JPM na au tuendelee kuziona ni kama Mungu alituwekea kwa bahati mbaya na hatuzitaki!
Naunga mkono hoja, mtu huyu tayari yupo, Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana, kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!. Apunguze...
P
 
Kwa sababu huna ushahidi bali ni maumivu ya kile kilichowapumbaza wengi wa watanzania, uvivu, uwongo, usengenyaji na kupenda maisha chiper!

Hii unayo wewe kwa asilimia zote!

JPM alikuwa mbaya kwa wabaya wa nchi hii na miongoni mwao na wewe pengine uliguswa

Hauwezi kupenda kamwe ikiwa masilahi yako ya kiujanjaunjanja yaliguswa

Wengi wao walikuwa wajinga walioingizwa kwenye mfumo kiundugu, watu aina hiyo kamwe hawatawahi kumkubali mtu aina hiyo mwenye kuponya wengi na kuwafyeka hao walioiweka nchi mfukoni mwao
Ndugu yangu angalia watu aliowaumiza JPM, kuna watu hawakuwahi kufanya kazi serikalini na walikuwa na biashara zao halali. Kujenga uwanja wa kimataifa chato kuna faida gani ? Kujenga hospitali kubwa chato ? Kujenga mji wa Shirika la nyumba ? Kujenga ikulu ndogo chato ? Najua hapo ulipo unakula na kulala kwa shida maana umezoea vya kupewa. Mimi ninashukuru Mungu juhudi zangu zinanisaidia kuishi vizuri. Nashukuru Mungu alimchukua maana alikuwa anatetea wavivu na wajinga. JPM alikuwa anawasaidia wavivu na wajinga kujidanganya wenyewe. Ukiwa mvivu unajidanganya kuwa umezaliwa kwenye mazingira mabovu. Unajidanganya kuwa serikali ilitakiwa ikupe elimu nzuri,kazi nzuri na ikiwezekana ikushushie gharama za maisha. Amka kijana acha kujidanganya hakuna wa kukubeba wala wa kukupa maisha. Pambana na maisha yako maana ni zawadi uliyopewa na Mungu. Hakuna mtu wa kupingana na uhalisia huu wa maisha. Mjinga hata umbebe vipi habebeki na mpambanaji hata umwekee vikwazo gani lazima atoboe. Maana kila ukimkata mtama anaaangukia mikono na kusimama. Tatizo sio Raisi bali tatizo ni mfumo.
 
Hata kama staandika matarajio yenu, kifupi ni kwamba, Tanzania inahitaji tena na kwa haraka mno mtu mwenye mfanano na hayati JPM,

Watanzania acheni kuendekeza ujinga, uzembe na ulalamishi

Wengi wenu ni walalamishi na msiopenda kabisa kufanya kazi, (wavivu wa kupindukia) mnapenda starehe bila kujali mnachoingiza

Familia zote masikini chanzo ni baba legelege, baba asiyeweka mfumo na mwongozo thabiti juu ya watoto wake, ni kuandaa mababa wengine walioferi maisha tokea kwa makuzi yao

Nikikumbuka kipindi cha huyo mwamba, kila mtu alipenda kufanya kazi, maofisini nako vile vile kwa sababu baba alikuwa ni mchapa kazi, mkemea uzembe, mkemea wezi na kila maovu, JPM aliwakemea mpaka viongozi wastasfu kwa sababu alijua nini anafanya juu ya nchi hii yenye watu masikini na sio tu masini, bali pia ni nchi yenye wajinga wenge!

Hayati Magufuli alikuwa ni mwalimu mzuri wa mapato na matumizi pia, kila kilichokuwa kikipatikana, kilielekezwa sehemu hisika tu na kufuatiliwa kwa ukaribu

Na ndiyo maana karibu kila mradi ulikuwa ukienda vema kwa sababu shilingi ilikuwa haipotei ovyovyo,

Nikiangalia sasa tulipo na tunavyokwenda, tumekopa matrilioni ya shilingi, na bado miradi ya kimkakati inasuasua, nani aseme tupo kwenye njia sahihi? Hivi ni nani mpaka muda huu kawajibishwa kwenye ripot ya CAG iliyovunja records ya upotevu wa mabilion ya shilingi, nani kajihudhuru walau tuweke imani kwa wanaotuongoza? Nani kafikishwa mahakamani ili tuseme tunatendea haki wananchi??

Mgogoro wa Wizara ya Nishati na wananchi, ni kama kumekosekana mtu wa kuutibu huu mgogoro, visingizio viingi na havijawahi kuisha, kwa nini tuwe na mgao wa umeme?? Tunakosa nini yaani, mwenye jibu wa swali hili nitamlipia ya bando la mwezi mzima, kwa nini kuwe na mgao wa umeme Tanzania kama siyo ulegelege na uzembe tu uliokubuhu?

Kama tunataka kuwa nchi inayopiga hatua kiuchumi na kuwa nchi inayoheshimika nje ndani, basi tunamhitaji mfano wa mtu aliyepita, yaani JPM asiyeogopa kufa kwa ajili ya maisha ya wengi ili akabiliane na wezi, mafisadi, wazembe na makuwadi wa kisiasa na machawa yaliyokosa kazi za kufanya, yanaabudu watu ili yalipwe badala ya kufanya kazi halali!

Wale kufokafoka karibuni mfoke, na sababu ni moja tu, maslahi yenu yaliyojengwa kwenye wizi na ujanjaunja, ndiyo huwa hamtakaki viongozi kama hao!

Mwisho, Ipo siku itajulikana iwapo Rasilimali Mungu alizotupa zilipaswa kulindwa kwa nguvu na kwa jicho la husuda kama alivyokuwa akifanya JPM na au tuendelee kuziona ni kama Mungu alituwekea kwa bahati mbaya na hatuzitaki!
Hapana. Hatuhitaji uongozi wa mtu mmoja - yeye tu ndiye awe anaonekana analeta maendeleo nchini. Tunahitaji kiongozi anayewashirikisha viongozi wengine katika kuleta maendeleo na hata kama atamaliza muda wake aliyoyaanzisha yataendelezwa na wengine. Uongozi shirikishi ndiyo unaotakiwa na siyo wa mtu mmoja. Na pia kuendana na dunia inavyoenda, tunahitaji kiongozi anayeshirikiana na viongozi wenzake duniani katika kuweka mikakati ya pamoja na kutafuta njia za kutatua matatizo yanayoathiri dunia na hasa nchi zinazoendelea. Tunahitaji pia kiongozi ambaye kama maendeleo yakipatikana aone kwamba ni maendeleo yetu wote na siyo yake peke yake. Tunahitaji kiongozi pia asipenda sifa zinazopita kiasi - yaani anayeweza kunyenyekea na kusema "sistahili hizi sifa na kama ninazo siyo sifa zangu peke yangu ni za Watanzania wote." Tunahitaji kiongozi ambaye akiidhinisha fedha za serikali kutumika katika miradi ya maendeleo aone kwamba siyo fedha zake, bali ni fedha za serikali na akisikia wapambe wanasema "Rais kajenga barabara, Raia kanunua ndeege" aweze kusema "serikali ndiyo imejenga barabara, serikali imenunua ndege". Tunahitaji kiongozi pia anayevumilia na anayekubali kukosolewa na siyo kusifiwa tu kila wakati. Tunahitaji kiongozi anayeheshimu haki za binadamu, utawala bora, sheria, katiba ya nchi na demokrasia na mihimili ya dola na siyo kudhani muhimili mmoja "umechimbia zaidi". Tunahitaji kiongozi pia anayefuata utaratibu wa kisheria wakati wa kuwafukuza wateule wake au watumishi wa serikali kazi na siyo kuwadhalilisha hadharani au kuwatumbua bila kufuata utaratibu na kuumiza hisia zao na hisia za wategemezi na watu wao wa karibu. Kila mtu anastahili heshima hata kama amekosea.
 
Ninapanga kuja kuandika kitabu hapo baadae, ntakiita Mtawala Mwanasayansi. Humo ndani ntamzungumzia JPM Chuma cha pua, na viongozi wengine waliyoongoza kwa mbinu za kisayansi na siasa kidogo. Nchi za kiafrica zinakosa sana utawala wa Kisayansi, na bila Sayansi haiwezekani kutatua Changamoto za watu, sayansi ni Hisabati
Kama kutahitajika mchango nipo tayari kusapoti mkuu
 
Dhana ya kwamba “mtu fulani” ndiye anayefaa kuiongoza Tanzania ni dhana mfu au batili. It’s, simply put, a logical FALLACY!

Kiongozi sahihi wa nchi hii ni yule atakayepatikana kwa kura halali za Watanzania katika uchaguzi huru na wa haki. Siku chaguo la wananchi na maamuzi yao yatakapoanza kuheshimiwa ndipo siku mwanga wa maendeleo na ustaarabu utakapoanza kuangazia nchi hii. Lazima wananchi wawe na nguvu ya kuweka na kuondoa viongozi wa nchi kidemokrasia.

Kutamani kuongozwa na madikteta, “zero-brain”, “waswahili”, machawa na takataka za aina hiyo ni ujinga mkubwa uliojengeka taratibu tangu mwanzo wa nchi hii chini ya chama kilichong’ang’ania madarakani hadi leo. Ni msiba mkubwa wa taifa unaotakiwa kufika mwisho sasa. Kinyume cha hapo maombolezo yataendelea hadi nchi ifikie hatua ya “failed state”.
Nimekulewa zaidi mkuu
 
JPM amesahihisha au ameleta uchafu wa aina nyingine? Mbaguzi huyu, muuaji, msababisha hasara, …. Hivi watanzania akili zenu zipo wapi?
Hayo ni majina ya kipropaganda mliyompachika kwa interest na chuki zenu ila kwenye ukweli uongo ujitenga.
 
Hata kama staandika matarajio yenu, kifupi ni kwamba, Tanzania inahitaji tena na kwa haraka mno mtu mwenye mfanano na hayati JPM,

Watanzania acheni kuendekeza ujinga, uzembe na ulalamishi

Wengi wenu ni walalamishi na msiopenda kabisa kufanya kazi, (wavivu wa kupindukia) mnapenda starehe bila kujali mnachoingiza

Familia zote masikini chanzo ni baba legelege, baba asiyeweka mfumo na mwongozo thabiti juu ya watoto wake, ni kuandaa mababa wengine walioferi maisha tokea kwa makuzi yao

Nikikumbuka kipindi cha huyo mwamba, kila mtu alipenda kufanya kazi, maofisini nako vile vile kwa sababu baba alikuwa ni mchapa kazi, mkemea uzembe, mkemea wezi na kila maovu, JPM aliwakemea mpaka viongozi wastasfu kwa sababu alijua nini anafanya juu ya nchi hii yenye watu masikini na sio tu masini, bali pia ni nchi yenye wajinga wenge!

Hayati Magufuli alikuwa ni mwalimu mzuri wa mapato na matumizi pia, kila kilichokuwa kikipatikana, kilielekezwa sehemu hisika tu na kufuatiliwa kwa ukaribu

Na ndiyo maana karibu kila mradi ulikuwa ukienda vema kwa sababu shilingi ilikuwa haipotei ovyovyo,

Nikiangalia sasa tulipo na tunavyokwenda, tumekopa matrilioni ya shilingi, na bado miradi ya kimkakati inasuasua, nani aseme tupo kwenye njia sahihi? Hivi ni nani mpaka muda huu kawajibishwa kwenye ripot ya CAG iliyovunja records ya upotevu wa mabilion ya shilingi, nani kajihudhuru walau tuweke imani kwa wanaotuongoza? Nani kafikishwa mahakamani ili tuseme tunatendea haki wananchi??

Mgogoro wa Wizara ya Nishati na wananchi, ni kama kumekosekana mtu wa kuutibu huu mgogoro, visingizio viingi na havijawahi kuisha, kwa nini tuwe na mgao wa umeme?? Tunakosa nini yaani, mwenye jibu wa swali hili nitamlipia ya bando la mwezi mzima, kwa nini kuwe na mgao wa umeme Tanzania kama siyo ulegelege na uzembe tu uliokubuhu?

Kama tunataka kuwa nchi inayopiga hatua kiuchumi na kuwa nchi inayoheshimika nje ndani, basi tunamhitaji mfano wa mtu aliyepita, yaani JPM asiyeogopa kufa kwa ajili ya maisha ya wengi ili akabiliane na wezi, mafisadi, wazembe na makuwadi wa kisiasa na machawa yaliyokosa kazi za kufanya, yanaabudu watu ili yalipwe badala ya kufanya kazi halali!

Wale kufokafoka karibuni mfoke, na sababu ni moja tu, maslahi yenu yaliyojengwa kwenye wizi na ujanjaunja, ndiyo huwa hamtakaki viongozi kama hao!

Mwisho, Ipo siku itajulikana iwapo Rasilimali Mungu alizotupa zilipaswa kulindwa kwa nguvu na kwa jicho la husuda kama alivyokuwa akifanya JPM na au tuendelee kuziona ni kama Mungu alituwekea kwa bahati mbaya na hatuzitaki!
Soon utahojiwa mkuu napitatu
 
Nilicoment hapa juzi, kuna post inamlalamikia Mchengerwa...

Hakuna mradi wowote mkubwa ufanikiwe bila kuwa na kiongozi shupavu.

Hakuna.
 
Back
Top Bottom