Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,237
- 31,811
Kwani waliokuwa kwa Magufuli hawakuwa na chuki kwenye kipindi chao ?Chadema wanataka waliokuwa Kwa magufuli wote watoke Yani wanaona apo watakuwa wamechukuwa nchi, chuki mbaya sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani waliokuwa kwa Magufuli hawakuwa na chuki kwenye kipindi chao ?Chadema wanataka waliokuwa Kwa magufuli wote watoke Yani wanaona apo watakuwa wamechukuwa nchi, chuki mbaya sana
Yawezekana ila Mungu akuangazie nuru za uso wake my Broo, ili upewe taasisi fulani, kwani wewe ni miongoni mwa vyombo vya thamani kwenye nchi hiyo, chombo hiki kikitumiwa kwenye uwanja mpana kitaleta manufaa kwa raia wengi zaidi na Taifa kwa ujumla, alama utakayoacha itaonekana hadi kwa walio vijijini huko BrooKwa maoni yangu, huku nilipo, naisaidia serikali kuliko ningeteuliwa popote
P
Uzalendo wa kweli ni kuipenda nchi yako na kuitumikia bila kujali kama serikali inaona au inathamini, kwasababu naitumikia jamii na sio serikali.Hiyo serikali sasa inajali unachofanya?
Huitumikii ccm kweli?🤣🤣Uzalendo wa kweli ni kuipenda nchi yako na kuitumikia bila kujali kama serikali inaona au inathamini, kwasababu naitumikia jamii na sio serikali.
P
Majuto ni mjukuu. Kinachompata Sabaya na wengine kama yeye ni matokeo ya chuki zao za ajabu ajabuChadema wanataka waliokuwa Kwa magufuli wote watoke Yani wanaona apo watakuwa wamechukuwa nchi, chuki mbaya sana
Mkuu Emanueli misalaba , mimi hapa nilipo ni taasisi, nadhani niendelee tuu, alama zitatokea baada...Yawezekana ila Mungu akuangazie nuru za uso wake my Broo, ili upewe taasisi fulani, kwani wewe ni miongoni mwa vyombo vya thamani kwenye nchi hiyo, chombo hiki kikitumiwa kwenye uwanja mpana kitaleta manufaa kwa raia wengi zaidi na Taifa kwa ujumla, alama utakayoacha itaonekana hadi kwa walio vijijini huko Broo
Ramli chonganishiTanzania sasa inapitia wakati muhimu sana. Sasa hivi kuna watu wachache ndiyo wameshikilia fungua za amani na katiba ya nchi yetu. Watu hao ni Rais Samia, Kinana, Mbowe, Rais Mwinyi, Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Lissu na Zitto. Hawa ndiyo watu muhimu kwenye Katiba yetu ijayo
Waziri Mkuu Majaliwa ana matatizo mawili makubwa
1. Kitendo cha kuengua mpinzani wake wa uchaguzi ili apite bila kupigwa inaonesha alikuwa anapenda ule mfumo na hii imemfanya kutokuaminika kabisa na wapinzani
2. Kitendo cha kukubali hadharani kwamba alikuwa anawatumia wakina Sabaya kule kwa Mbowe kumemwaribia sana.
Kwa mwenendo wa sasa Rais Samia pamoja na Mwinyi wanahitaji viongozi wa upinzani ili waweze kupeleka taifa mbele.
Waziri mkuu bila kutafuta njia ya kutubu na kusema wazi kabadilika itabidi atolewe kwa manufaa ya umma.
Hivyo anaweza kutafutia issue kama Spika Ndugai au tu Rais kufanya mabadiliko ya kawaida au anaweza kutubu na kujirudi kitu ambacho hajafanya mpapa sasa.
Mbowe kwa sasa ana nguvu kuliko Majaliwa. Na akiweka kichwa ngumu na kujifanya ni mzalendo yatamkuta ya Ndugai.
Namshauri awahi haraka sana kuweka msimamo wake wazi bila hivyo atapigwa chini kwani hatakuwa anasaidia nchi au chama
Mbowe kwa sasa ana nguvu kuliko Majaliwa. Na akiweka kichwa ngumu na kujifanya ni mzalendo yatamkuta ya Ndugai.
Kwa vile CCM ndio kila kitu, ukifanya jambo lolote la manufaa kwa jamii, credits ni CCM. Hata Mbowe zile trips za Ikulu, anamtumikia Samia kama Mwenyekiti wa CCM na sio kama rais wa nchi.Huitumikii ccm kweli?🤣🤣
Mkuu Emanueli misalaba , mimi hapa nilipo ni taasisi, nadhani niendelee tuu, alama zitatokea baada...
"Kwa maana kila ajikwezaye atadhiliwa, naye ajidhiliye atakwezwa" Mkuu umeonyesha unyenyekevu ni sehemu ya maisha yako, kwa sheria za rohoni umezitendea haki, neema zake Muumba unastahili kukwezwa.
Mkuu Emanueli misalaba , mimi hapa nilipo ni taasisi, nadhani niendelee tuu, alama zitatokea baada...
P
mimi hata sielewi nini kinaendelea kwa sasa ???nchini kama vile tuko kwenye kampeni ya 2025,wanchi wanahitaji huduma mbalimbali kama za elimu, bado watoto wetu wanakaa chini , hakuna dawa za kutosha kwenye hospitali zetu, huduma za maji safi na salama , tatizo la ajira kwa vijana bomu kubwa, mfumo kwa bei haswa bei vyakula ,nk.lakini mjadala ni sijui lissu,PM ulafi wa madaraka ndiyo umeuteka discussion ....hichi kizazi taabu kwelikwali ...na logoff sitaki makuu...Nyoka ni nyoka awezi kuwa samaki .ccm wanalindana wakilamba asali
Hili ni jambo zuri ambalo mpaka sasa Kenya wametuzidi.Kwa mwenendo wa sasa Rais Samia pamoja na Mwinyi wanahitaji viongozi wa upinzani ili waweze kupeleka taifa mbele.
Wakati gwiji la siasa Tanzania mzee EDO anaachia ngazi pale mjengoni Dodoma alisema nanukuu...mheshimiwa spika nimetafakari kwa kina nakagundua kuwa tatizo ni uwaziri mkuu , leo asubuhi nimeandika barua rais naachia ngazi , mwisho wa kunukuu,, akabwaga manyanga, kile kiti ni kigumu saaana , mwombeeni PM , The guy is vey smart.....nani mwajibikaji kwa wanchi, he knows kuanzia anayeshindia mihogo mpaka anakula pizza anahitaji huduma gani .......mbona sie wananchi wa kawaida tunampenda tu waziri mkuu wetu, nyie anawapa tabu gani
Usimwamini binadamu kiasi hicho.... Hata wapinzani hawajiachii kiasi hicho wanajua kilichopo mbele yao...... Ccm imuhitaji mpinzani!!!!!! ....... Nachojua upinzani wanafahamu mbivu na mbichiKwa mwenendo wa sasa Rais Samia pamoja na Mwinyi wanahitaji viongozi wa upinzani ili waweze kupeleka taifa mbele.
Smart? Anapita bila kupingwa?Wakati gwiji la siasa Tanzania mzee EDO anaachia ngazi pale mjengoni Dodoma alisema nanukuu...mheshimiwa spika nimetafakari kwa kina nakagundua kuwa tatizo ni uwaziri mkuu , leo asubuhi nimeandika barua rais naachia ngazi , mwisho wa kunukuu,, akabwaga manyanga, kile kiti ni kigumu saaana , mwombeeni PM , The guy is vey smart.....nani mwajibikaji kwa wanchi, he knows kuanzia anayeshindia mihogo mpaka anakula pizza anahitaji huduma gani .......
We ni schizophrenic. Majaliwa akiambiwa avunje serikali yake,haitakuwa kwa ajili ya Mbowe.Tanzania sasa inapitia wakati muhimu sana. Sasa hivi kuna watu wachache ndiyo wameshikilia fungua za amani na katiba ya nchi yetu. Watu hao ni Rais Samia, Kinana, Mbowe, Rais Mwinyi, Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Lissu na Zitto. Hawa ndiyo watu muhimu kwenye Katiba yetu ijayo
Waziri Mkuu Majaliwa ana matatizo mawili makubwa
1. Kitendo cha kuengua mpinzani wake wa uchaguzi ili apite bila kupigwa inaonesha alikuwa anapenda ule mfumo na hii imemfanya kutokuaminika kabisa na wapinzani
2. Kitendo cha kukubali hadharani kwamba alikuwa anawatumia wakina Sabaya kule kwa Mbowe kumemwaribia sana.
Kwa mwenendo wa sasa Rais Samia pamoja na Mwinyi wanahitaji viongozi wa upinzani ili waweze kupeleka taifa mbele.
Waziri mkuu bila kutafuta njia ya kutubu na kusema wazi kabadilika itabidi atolewe kwa manufaa ya umma.
Hivyo anaweza kutafutia issue kama Spika Ndugai au tu Rais kufanya mabadiliko ya kawaida au anaweza kutubu na kujirudi kitu ambacho hajafanya mpapa sasa.
Mbowe kwa sasa ana nguvu kuliko Majaliwa. Na akiweka kichwa ngumu na kujifanya ni mzalendo yatamkuta ya Ndugai.
Namshauri awahi haraka sana kuweka msimamo wake wazi bila hivyo atapigwa chini kwani hatakuwa anasaidia nchi au chama
Naona chadema sio chama Cha kuwakimboa wananchi Tena ,ni chama chakulipiza YOYOTE alikuwa awamu ya tano,SS wananchi ambao tuliokuwa tunakuamini Sasa kinatutia mashakaKwani waliokuwa kwa Magufuli hawakuwa na chuki kwenye kipindi chao ?