Ambition plus
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 6,101
- 11,381
Chadema ni ccm bNI vilaza wachache bado wana washabikia. Wahuni wa chadema.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chadema ni ccm bNI vilaza wachache bado wana washabikia. Wahuni wa chadema.
Alituambia wakati wa compaign 2020 kuwa hata tukiwakataa kwenye sanduku la kura,Kwani Samia alikuaje hadi useme kabadilika?
Kwani sasa katengua hiyo kauli? Kimsingi alichokiongea ndio uhalisia wenyewe hata kama haikuwa sahihi kusema hivyo.Alituambia wakati wa compaign 2020 kuwa hata tukiwakataa kwenye sanduku la kura,
Bado mshindi atatoka CCM,
Kauli yake ndo ilisababisha niahirishe kwenda kupiga kura.
Usiwe mwepesi kusahau.
Kamundu! Bila shaka wewe ni mmojawao unaotumika au kujipigia debe. Be objective not subjective. Unakumbusha mambo yaliyopita ili iweje? Mh.Waziri Mkuu hana kosa gani hapo mgombea kama aliingia mitini? Leta ushahidi sio kutumiwa na wapenda madaraka. Mungu akusaidie uache chuki binafsi
So Kassim kosa lake nn, kama sa100 ndo wale wale,Kwani sasa katengua hiyo kauli? Kimsingi alichokiongea ndio uhalisia wenyewe hata kama haikuwa sahihi kusema hivyo.
Aombe msamaha Ili mfanye Yale ya ndugaaai?Majaliwa kama nilivyosema pona yake ni kutubu na kuomba msamaha akiweka kichwa ngumu atakuwa waziri mkuu mstaafu. Kwani kuomba msamaha kuna ugumu gani? Kama mnasema hana kosa basi asubiri na akubali matokeo
Wewe upo tayari kuyakubali matokeo?Majaliwa kama nilivyosema pona yake ni kutubu na kuomba msamaha akiweka kichwa ngumu atakuwa waziri mkuu mstaafu. Kwani kuomba msamaha kuna ugumu gani? Kama mnasema hana kosa basi asubiri na akubali matokeo
Elimu ya uraia inahitajika sana!, mazungumzo ya maridhiano ni kati ya vyama CCM na Chadema, na sio Chadema na serikali!. Mbowe anapo ongea na Samia, ni Samia Mwenyekiti wa CCM na sio Samia rais wa JMT!. Ni mazungumzo ya kichama na sio ya kiserikali!.
P
Bangi za utotoni zinaenda mpaka ukubwani. Wanahangaika sana na Majaliwa. Anyway, kazi kwaoHili la kukiri kuwa alikuwa akiwatumia Sabaya amekiri lini?
Naona nilipitwa na huu mkanda
Samia kama Rais wa JMT ndio aliyeomba kuzungumza na wapinzani kupitia TCD, Chadema wakasusa https://www.jamiiforums.com/threads...-njema-na-nchi-hii-mpeni-ushirikiano.1939827/Don't go that much low brother! Kwa nini mazungumzo ya maridhiano yamefanyika kati ya Mbowe na Kinana?
Kisha kwa nini wameyapeleka kwa Samia? Unataka kusema maridhiano hayo waliyapeleka kwa mwenyekiti wa CCM?
NO NI KWA RAIS.
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
NI vilaza wachache bado wana washabikia. Wahuni wa chadema.
Samia kama Rais wa JMT ndio aliyeomba kuzungumza na wapinzani kupitia TCD, Chadema wakasusa https://www.jamiiforums.com/threads...-njema-na-nchi-hii-mpeni-ushirikiano.1939827/
Licha ya Chadema kususa, Zitto kupitia TCD, akamuombea msamaha kwa Mama Samia, na katika kujibu hoja ya Zitto, Mama akasema "kusameana kupo", sisi wa kupongeza, tukapongeza https://www.jamiiforums.com/threads...-bila-kuombwa-msamaha-au-akomae-naye.1941083/
Kweli haukupita Muda, kesi ya Mbowe ikafutwa na DPP!, wanaojua aliyefuta kesi ni DPP, waendelee kujua hivyo, lakini tunaojua aliyefuta kesi ni nani, tunajua na Mbowe anajua ndio maana baada ya kuachiwa alikwenda mahali fulani kufanya jambo fulani na huo ndio ukawa mwanzo wa maridhiano ya kichama baina ya CCM na Chadema na sio serikali na Chadema.
Mambo ya serikali na wapinzani ni kupitia TCD na kikosi kazi.
P
Ukiona unaota sana ndoto za mchana ujue karibu utakuwa chizi. Hivi bado kuna upinzani nchi hii ? Mimi ninafahamu kwamba tangu mwenyekiti wenu alipobadili gia angani mwaka 2015 hapo ndipo CHADEMA ilikufa rasmi. Kilichobaki ni ngojera na kuganga njaa. Poleni sana.Tanzania sasa inapitia wakati muhimu sana. Sasa hivi kuna watu wachache ndiyo wameshikilia fungua za amani na katiba ya nchi yetu. Watu hao ni Rais Samia, Kinana, Mbowe, Rais Mwinyi, Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Lissu na Zitto. Hawa ndiyo watu muhimu kwenye Katiba yetu ijayo
Waziri Mkuu Majaliwa ana matatizo mawili makubwa
1. Kitendo cha kuengua mpinzani wake wa uchaguzi ili apite bila kupigwa inaonesha alikuwa anapenda ule mfumo na hii imemfanya kutokuaminika kabisa na wapinzani
2. Kitendo cha kukubali hadharani kwamba alikuwa anawatumia wakina Sabaya kule kwa Mbowe kumemwaribia sana.
Kwa mwenendo wa sasa Rais Samia pamoja na Mwinyi wanahitaji viongozi wa upinzani ili waweze kupeleka taifa mbele.
Waziri mkuu bila kutafuta njia ya kutubu na kusema wazi kabadilika itabidi atolewe kwa manufaa ya umma.
Hivyo anaweza kutafutia issue kama Spika Ndugai au tu Rais kufanya mabadiliko ya kawaida au anaweza kutubu na kujirudi kitu ambacho hajafanya mpapa sasa.
Mbowe kwa sasa ana nguvu kuliko Majaliwa. Na akiweka kichwa ngumu na kujifanya ni mzalendo yatamkuta ya Ndugai.
Namshauri awahi haraka sana kuweka msimamo wake wazi bila hivyo atapigwa chini kwani hatakuwa anasaidia nchi au chama
This is not a fair comment!. Sii kweli kuwa wote wanaoishabikia CCM ni majizi!. https://www.jamiiforums.com/threads...m-kila-uchao-ni-wajinga-its-not-fair.1567550/Majizi na wazee ndio bado wanaishabikia CCM.
Hakuna kitu kizuri kama kuukubali ukweli, kesi ilikuwepo, preliminary hearing ikafanyika Mbowe akakutwa ana prima facie!. Mama ndio akaokoa jahazi kupitia kwa DPP!, akaifuta kwa Nolle!.DPP alifuta kesi ya Mbowe kwani kulikuwa na kesi ama siasa chafu mahakamani?
Kwa sisi tunao mfahamu Zitto tunajua hakutumwa na CCM or na yeyote!.Zito alitumwa na CCM kujifanya anamuombe msamaha Mbowe ili akaichiwa ionekane kama aliombewa msamaha, na Zito
It's true Chadema waligoma kuomba msamaha na Mbowe aligoma kuomba msamaha, ila baada ya kuachiwa, kwanza Mbowe ni very appreciative kwa Samia na yuko very apologetic, he'll not be the same Mbowe again!. Mpisheni Heche kwenye the driver's seat.aliambiwa aache kujipendekeza maana CDM wala Mbowe hawakuhitaji msamaha maana hakukuwa na kesi.
TrueKesi ile iwe isiwe lazima Mbowe angeachiwa maana ilikuwa inaanika udhaifu wa serikali na mifumo yake. Na pale ndio udhaifu na ushenzi wa jeshi la polisi ulikuwa hadharani.
This is a mistake kubwa sana kwa Chadema, Chadema wanajisikia wao pekee ndio the opposition supremacy hivyo they can stand alone!. Kiukweli Chadema wenyewe tuu kama Chadema, hawawezi!, umoja ni nguvu, utengano ni udhaifu!, ili wapinzani wafanikiwe ni lazima washirikiane, waungane and stand together against a common enemy. Kule nyuma niliwahi kuwapongeza Chadema https://www.jamiiforums.com/threads...owe-sasa-muwege-mnasikilizaga-ushauri.655321/CDM hawakuwa na haja yoyote ya kuongea na hao TCD,
Not necessarily, ni maridhiano ya ukweli, mikutano ya siasa ndio hiyo, zinafuatia sheria, then katiba mpya!.na hata huyo Mbowe kwenda ikulu ama kukutana na CCM, tuliona ni kupotezeana muda tu. Hata sasa kuna maridhiano, lakini tunajua fika ni maridhiano fake
Not necessarily. Kuna politics of confrontations kama za JPM na politics of reconciliation kama za Samia, Chadema has always been ni chama cha kiharakati, kila siku kinafanya siasa za offensive na confrontations, Mbowe ameigeuza kwa kukubali reconciliation mnasema ni vikao vya kitapeli!. Chadema mnataka kutupeleka wapi?!, mimi ni mwalimu wa siasa, naendelea kuwaelimisha Chadema https://www.jamiiforums.com/threads...a-tuwe-wamoja-wakweli-na-tusipotoshe.1609118/maana hakujatokea machafuko. Maridhiano na heshima ya kweli itapatikana baada ya kutokea machafuko, na sio hivyo vikao vya kitapeli.
Sijui hao ambao wao wamemshikilia Majaliwa tu labda wana ajenda zao.So Kassim kosa lake nn, kama sa100 ndo wale wale,
Tudai KATIBA mpya Kwa maslah ya nchi nzima,
Kassim aachwe kama walivyoachwa wale vilaza kina pena, mwigu na kipara ngoto😠😠
Kwa mujibu wa Twaweza?Majizi na wazee ndio bado wanaishabikia CCM.
Hakuna kitu kizuri kama kuukubali ukweli, kesi ilikuwepo, preliminary hearing ikafanyika Mbowe akakutwa ana prima facie!. Mama ndio akaokoa jahazi kupitia kwa DPP!, akaifuta kwa Nolle!.
Kwa sisi tunao mfahamu Zitto tunajua hakutumwa na CCM or na yeyote!.
It's true Chadema waligoma kuomba msamaha na Mbowe aligoma kuomba msamaha, ila baada ya kuachiwa, kwanza Mbowe ni very appreciative kwa Samia na yuko very apologetic, he'll not be the same Mbowe again!. Mpisheni Heche kwenye the driver's seat.
True
This is a mistake kubwa sana kwa Chadema, Chadema wanajisikia wao pekee ndio the opposition supremacy hivyo they can stand alone!. Kiukweli Chadema wenyewe tuu kama Chadema, hawawezi!, umoja ni nguvu, utengano ni udhaifu!, ili wapinzani wafanikiwe ni lazima washirikiane, waungane and stand together against a common enemy. Kule nyuma niliwahi kuwapongeza Chadema https://www.jamiiforums.com/threads...owe-sasa-muwege-mnasikilizaga-ushauri.655321/
Not necessarily, ni maridhiano ya ukweli, mikutano ya siasa ndio hiyo, zinafuatia sheria, then katiba mpya!.
Not necessarily. Kuna politics of confrontations kama za JPM na politics of reconciliation kama za Samia, Chadema has always been ni chama cha kiharakati, kila siku kinafanya siasa za offensive na confrontations, Mbowe ameigeuza kwa kukubali reconciliation mnasema ni vikao vya kitapeli!. Chadema mnataka kutupeleka wapi?!, mimi ni mwalimu wa siasa, naendelea kuwaelimisha Chadema https://www.jamiiforums.com/threads...a-tuwe-wamoja-wakweli-na-tusipotoshe.1609118/
P
Kwa mujibu wa Twaweza?
Sukumagang bana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ndio ashafariki sasa....NI vilaza wachache bado wana washabikia. Wahuni wa chadema.