Bila kujirudi, Kassim Majaliwa atapigwa chini!

Bila kujirudi, Kassim Majaliwa atapigwa chini!

Kwani Samia alikuaje hadi useme kabadilika?
Alituambia wakati wa compaign 2020 kuwa hata tukiwakataa kwenye sanduku la kura,

Bado mshindi atatoka CCM,

Kauli yake ndo ilisababisha niahirishe kwenda kupiga kura.

Usiwe mwepesi kusahau.
 
Alituambia wakati wa compaign 2020 kuwa hata tukiwakataa kwenye sanduku la kura,

Bado mshindi atatoka CCM,

Kauli yake ndo ilisababisha niahirishe kwenda kupiga kura.

Usiwe mwepesi kusahau.
Kwani sasa katengua hiyo kauli? Kimsingi alichokiongea ndio uhalisia wenyewe hata kama haikuwa sahihi kusema hivyo.
 
Kamundu! Bila shaka wewe ni mmojawao unaotumika au kujipigia debe. Be objective not subjective. Unakumbusha mambo yaliyopita ili iweje? Mh.Waziri Mkuu hana kosa gani hapo mgombea kama aliingia mitini? Leta ushahidi sio kutumiwa na wapenda madaraka. Mungu akusaidie uache chuki binafsi

Majaliwa kama nilivyosema pona yake ni kutubu na kuomba msamaha akiweka kichwa ngumu atakuwa waziri mkuu mstaafu. Kwani kuomba msamaha kuna ugumu gani? Kama mnasema hana kosa basi asubiri na akubali matokeo
 
Kwani sasa katengua hiyo kauli? Kimsingi alichokiongea ndio uhalisia wenyewe hata kama haikuwa sahihi kusema hivyo.
So Kassim kosa lake nn, kama sa100 ndo wale wale,

Tudai KATIBA mpya Kwa maslah ya nchi nzima,

Kassim aachwe kama walivyoachwa wale vilaza kina pena, mwigu na kipara ngoto😠😠
 
Majaliwa kama nilivyosema pona yake ni kutubu na kuomba msamaha akiweka kichwa ngumu atakuwa waziri mkuu mstaafu. Kwani kuomba msamaha kuna ugumu gani? Kama mnasema hana kosa basi asubiri na akubali matokeo
Aombe msamaha Ili mfanye Yale ya ndugaaai?

Wanaume hufa wakipambana!!!!
 
Majaliwa kama nilivyosema pona yake ni kutubu na kuomba msamaha akiweka kichwa ngumu atakuwa waziri mkuu mstaafu. Kwani kuomba msamaha kuna ugumu gani? Kama mnasema hana kosa basi asubiri na akubali matokeo
Wewe upo tayari kuyakubali matokeo?
 
Elimu ya uraia inahitajika sana!, mazungumzo ya maridhiano ni kati ya vyama CCM na Chadema, na sio Chadema na serikali!. Mbowe anapo ongea na Samia, ni Samia Mwenyekiti wa CCM na sio Samia rais wa JMT!. Ni mazungumzo ya kichama na sio ya kiserikali!.
P

Don't go that much low brother! Kwa nini mazungumzo ya maridhiano yamefanyika kati ya Mbowe na Kinana?
Kisha kwa nini wameyapeleka kwa Samia? Unataka kusema maridhiano hayo waliyapeleka kwa mwenyekiti wa CCM?
NO NI KWA RAIS.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Hili la kukiri kuwa alikuwa akiwatumia Sabaya amekiri lini?
Naona nilipitwa na huu mkanda
Bangi za utotoni zinaenda mpaka ukubwani. Wanahangaika sana na Majaliwa. Anyway, kazi kwao
 
Don't go that much low brother! Kwa nini mazungumzo ya maridhiano yamefanyika kati ya Mbowe na Kinana?
Kisha kwa nini wameyapeleka kwa Samia? Unataka kusema maridhiano hayo waliyapeleka kwa mwenyekiti wa CCM?
NO NI KWA RAIS.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Samia kama Rais wa JMT ndio aliyeomba kuzungumza na wapinzani kupitia TCD, Chadema wakasusa https://www.jamiiforums.com/threads...-njema-na-nchi-hii-mpeni-ushirikiano.1939827/

Licha ya Chadema kususa, Zitto kupitia TCD, akamuombea msamaha kwa Mama Samia, na katika kujibu hoja ya Zitto, Mama akasema "kusameana kupo", sisi wa kupongeza, tukapongeza https://www.jamiiforums.com/threads...-bila-kuombwa-msamaha-au-akomae-naye.1941083/

Kweli haukupita Muda, kesi ya Mbowe ikafutwa na DPP!, wanaojua aliyefuta kesi ni DPP, waendelee kujua hivyo, lakini tunaojua aliyefuta kesi ni nani, tunajua na Mbowe anajua ndio maana baada ya kuachiwa alikwenda mahali fulani kufanya jambo fulani na huo ndio ukawa mwanzo wa maridhiano ya kichama baina ya CCM na Chadema na sio serikali na Chadema.

Mambo ya serikali na wapinzani ni kupitia TCD na kikosi kazi.

DPP alifuta kesi ya Mbowe kwani kulikuwa na kesi ama siasa chafu mahakamani? Zito alitumwa na CCM kujifanya anamuombe msamaha Mbowe ili akaichiwa ionekane kama aliombewa msamaha, na Zito aliambiwa aache kujipendekeza maana CDM wala Mbowe hawakuhitaji msamaha maana hakukuwa na kesi.

Kesi ile iwe isiwe lazima Mbowe angeachiwa maana ilikuwa inaanika udhaifu wa serikali na mifumo yake. Na pale ndio udhaifu na ushenzi wa jeshi la polisi ulikuwa hadharani. CDM hawakuwa na haja yoyote ya kuongea na hao TCD, na hata huyo Mbowe kwenda ikulu ama kukutana na CCM, tuliona ni kupotezeana muda tu. Hata sasa kuna maridhiano, lakini tunajua fika ni maridhiano fake maana hakujatokea machafuko. Maridhiano na heshima ya kweli itapatikana baada ya kutokea machafuko, na sio hivyo vikao vya kitapeli.
 
Tanzania sasa inapitia wakati muhimu sana. Sasa hivi kuna watu wachache ndiyo wameshikilia fungua za amani na katiba ya nchi yetu. Watu hao ni Rais Samia, Kinana, Mbowe, Rais Mwinyi, Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Lissu na Zitto. Hawa ndiyo watu muhimu kwenye Katiba yetu ijayo

Waziri Mkuu Majaliwa ana matatizo mawili makubwa

1. Kitendo cha kuengua mpinzani wake wa uchaguzi ili apite bila kupigwa inaonesha alikuwa anapenda ule mfumo na hii imemfanya kutokuaminika kabisa na wapinzani

2. Kitendo cha kukubali hadharani kwamba alikuwa anawatumia wakina Sabaya kule kwa Mbowe kumemwaribia sana.

Kwa mwenendo wa sasa Rais Samia pamoja na Mwinyi wanahitaji viongozi wa upinzani ili waweze kupeleka taifa mbele.

Waziri mkuu bila kutafuta njia ya kutubu na kusema wazi kabadilika itabidi atolewe kwa manufaa ya umma.

Hivyo anaweza kutafutia issue kama Spika Ndugai au tu Rais kufanya mabadiliko ya kawaida au anaweza kutubu na kujirudi kitu ambacho hajafanya mpapa sasa.

Mbowe kwa sasa ana nguvu kuliko Majaliwa. Na akiweka kichwa ngumu na kujifanya ni mzalendo yatamkuta ya Ndugai.

Namshauri awahi haraka sana kuweka msimamo wake wazi bila hivyo atapigwa chini kwani hatakuwa anasaidia nchi au chama
Ukiona unaota sana ndoto za mchana ujue karibu utakuwa chizi. Hivi bado kuna upinzani nchi hii ? Mimi ninafahamu kwamba tangu mwenyekiti wenu alipobadili gia angani mwaka 2015 hapo ndipo CHADEMA ilikufa rasmi. Kilichobaki ni ngojera na kuganga njaa. Poleni sana.
 
DPP alifuta kesi ya Mbowe kwani kulikuwa na kesi ama siasa chafu mahakamani?
Hakuna kitu kizuri kama kuukubali ukweli, kesi ilikuwepo, preliminary hearing ikafanyika Mbowe akakutwa ana prima facie!. Mama ndio akaokoa jahazi kupitia kwa DPP!, akaifuta kwa Nolle!.
Zito alitumwa na CCM kujifanya anamuombe msamaha Mbowe ili akaichiwa ionekane kama aliombewa msamaha, na Zito
Kwa sisi tunao mfahamu Zitto tunajua hakutumwa na CCM or na yeyote!.
aliambiwa aache kujipendekeza maana CDM wala Mbowe hawakuhitaji msamaha maana hakukuwa na kesi.
It's true Chadema waligoma kuomba msamaha na Mbowe aligoma kuomba msamaha, ila baada ya kuachiwa, kwanza Mbowe ni very appreciative kwa Samia na yuko very apologetic, he'll not be the same Mbowe again!. Mpisheni Heche kwenye the driver's seat.
Kesi ile iwe isiwe lazima Mbowe angeachiwa maana ilikuwa inaanika udhaifu wa serikali na mifumo yake. Na pale ndio udhaifu na ushenzi wa jeshi la polisi ulikuwa hadharani.
True
CDM hawakuwa na haja yoyote ya kuongea na hao TCD,
This is a mistake kubwa sana kwa Chadema, Chadema wanajisikia wao pekee ndio the opposition supremacy hivyo they can stand alone!. Kiukweli Chadema wenyewe tuu kama Chadema, hawawezi!, umoja ni nguvu, utengano ni udhaifu!, ili wapinzani wafanikiwe ni lazima washirikiane, waungane and stand together against a common enemy. Kule nyuma niliwahi kuwapongeza Chadema https://www.jamiiforums.com/threads...owe-sasa-muwege-mnasikilizaga-ushauri.655321/
na hata huyo Mbowe kwenda ikulu ama kukutana na CCM, tuliona ni kupotezeana muda tu. Hata sasa kuna maridhiano, lakini tunajua fika ni maridhiano fake
Not necessarily, ni maridhiano ya ukweli, mikutano ya siasa ndio hiyo, zinafuatia sheria, then katiba mpya!.
maana hakujatokea machafuko. Maridhiano na heshima ya kweli itapatikana baada ya kutokea machafuko, na sio hivyo vikao vya kitapeli.
Not necessarily. Kuna politics of confrontations kama za JPM na politics of reconciliation kama za Samia, Chadema has always been ni chama cha kiharakati, kila siku kinafanya siasa za offensive na confrontations, Mbowe ameigeuza kwa kukubali reconciliation mnasema ni vikao vya kitapeli!. Chadema mnataka kutupeleka wapi?!, mimi ni mwalimu wa siasa, naendelea kuwaelimisha Chadema https://www.jamiiforums.com/threads...a-tuwe-wamoja-wakweli-na-tusipotoshe.1609118/
P
 
So Kassim kosa lake nn, kama sa100 ndo wale wale,

Tudai KATIBA mpya Kwa maslah ya nchi nzima,

Kassim aachwe kama walivyoachwa wale vilaza kina pena, mwigu na kipara ngoto😠😠
Sijui hao ambao wao wamemshikilia Majaliwa tu labda wana ajenda zao.
 
Hakuna kitu kizuri kama kuukubali ukweli, kesi ilikuwepo, preliminary hearing ikafanyika Mbowe akakutwa ana prima facie!. Mama ndio akaokoa jahazi kupitia kwa DPP!, akaifuta kwa Nolle!.

Kwa sisi tunao mfahamu Zitto tunajua hakutumwa na CCM or na yeyote!.

It's true Chadema waligoma kuomba msamaha na Mbowe aligoma kuomba msamaha, ila baada ya kuachiwa, kwanza Mbowe ni very appreciative kwa Samia na yuko very apologetic, he'll not be the same Mbowe again!. Mpisheni Heche kwenye the driver's seat.

True

This is a mistake kubwa sana kwa Chadema, Chadema wanajisikia wao pekee ndio the opposition supremacy hivyo they can stand alone!. Kiukweli Chadema wenyewe tuu kama Chadema, hawawezi!, umoja ni nguvu, utengano ni udhaifu!, ili wapinzani wafanikiwe ni lazima washirikiane, waungane and stand together against a common enemy. Kule nyuma niliwahi kuwapongeza Chadema https://www.jamiiforums.com/threads...owe-sasa-muwege-mnasikilizaga-ushauri.655321/

Not necessarily, ni maridhiano ya ukweli, mikutano ya siasa ndio hiyo, zinafuatia sheria, then katiba mpya!.

Not necessarily. Kuna politics of confrontations kama za JPM na politics of reconciliation kama za Samia, Chadema has always been ni chama cha kiharakati, kila siku kinafanya siasa za offensive na confrontations, Mbowe ameigeuza kwa kukubali reconciliation mnasema ni vikao vya kitapeli!. Chadema mnataka kutupeleka wapi?!, mimi ni mwalimu wa siasa, naendelea kuwaelimisha Chadema https://www.jamiiforums.com/threads...a-tuwe-wamoja-wakweli-na-tusipotoshe.1609118/
P

Kukubali ukweli gani Paskali, unadhani hatukuwa tunaona ushahidi unaotolewa ulivyo wa hovyo. Ule ushenzi uitwao ushahidi uliowasilishwa na serikali ingekuwa ni mahakama za Kenya, uchafu ule ungetupiliwa mbali. Kwa hizi mahakama zinazopewa maagizo na viongozi wahuni wa CCM, ni bora ukae kimya tu.

Mtu mjinga tu ndio anaweza kusema Zito hakutumwa ili ionekane serikali imemuachia kwa kuombwa. Wafuasi wote wa CDM walimwambia Zito aache kimbelembele, ni bora Mbowe afungwe kwa uonevu, kuliko kupewa msamaha huku akiwa hana kosa.

CDM hawahitaji umoja ambao unatumika kuharibu lengo. Kama CDM ni kikwazo kwa hivyo vyama vingine, mbona vyenyewe haviungani ili kupambana na CCM? Katika vitu ambavyo CDM hawapaswi kuingia mtego ni pamoja na kuunda umoja wa vyama vingine vinavyoigiza ni vya upinzani.

Huyo Mbowe tumeshamstukia muda mrefu, sio hata lazima ww utuambie. Toka Mbowe amempokea Lowassa, alipaswa kukaa pembeni mara baada ya Lowassa kushindwa kuupata urais kwa njia ya shortcut. Inshort Mbowe hastahili tena kuwa mwenyekiti wa CDM, na hili nimelizunguma muda mrefu.

Narudia tena, hayo maridhiano ni utapeli kama utapeli mwingine. Mikutano ya hadhara ni haki ya kikatiba na sio hisani, ila kwa ajili ya kutawaliwa kwa shuruti na chama kisicho na uhalali wa umma, ndio maana unaona chama hicho kikishirikiana na vyombo vya dola chini ya katiba mbovu kuivunja hiyo katiba. Nasisitiza tena, machafuko pekee ndio yataweza kuleta tume ya kweli ya uchaguzi, na katiba mpya yenye matakwa ya wananchi.
 
Back
Top Bottom