Mimindoyulejamaamkatili
Member
- Sep 8, 2021
- 36
- 31
Hivi viumbe navifananisha kama nilishawahi kuviona kwenye t-shirt ya watani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi viumbe navifananisha kama nilishawahi kuviona kwenye t-shirt ya watani
Binafsi Mimi ni Simba toka utotoni Ila issue ya kuondoka kwa Manara imeniumiza Sana. Mpaka naiwaza Yanga kitu ambacho sikuwahi kufanya. Haki yake mpeni Manara ni super Mhamasishaji.Ili kukabiliana na athari za kuondoka kwa Haji manara Simba walilazimika kuingia mifukoni ili kufanikisha Simba day. Manara effect iliwaandama na inazidi kuwaandama Simba. Kila wanachofanya wanafanya ili kuzifuta nyao za Manara lakini wanafanya hivyo kwa kutumia nguvu kubwa zaidi ili kumkaribia au kumzidi Manara.
Wali pump watu actively kwenda uwanjani siku ya Simba day. Kumleta mpaka Mpoto, Prof J, Masau Bwire, wakongo, Salama Ngale, nk, nk, nk, nk, nk,nk, ni kuonyesha namna Simba ilivyoathirika kwa kuondokewa na Manara. Manara alikuwa akiujaza uwanja kwa mike tu bila kupewa kitu chochote. Kuna watoto wadogo wengi sana mitaani waliipenda simba na kuichukia Yanga kutokana na Manara. Sasa hivi kuna watoto wengi wataipenda Yanga na kuichukia Simba kutokana na Manara. Hakuna ubishi Manara Mwenyezi Mungu amembariki./
Ushauri wangu Simba watume wazee wenye akili waende kumuona Haji. Simba itazidi kupoteana kama mashabiki watazidi kumkejeli Manara na mporomoko huu utakuwa dhahiri siku Simba ikifungwa na Yanga.
Ili kukabiliana na athari za kuondoka kwa Haji manara Simba walilazimika kuingia mifukoni ili kufanikisha Simba day. Manara effect iliwaandama na inazidi kuwaandama Simba. Kila wanachofanya wanafanya ili kuzifuta nyao za Manara lakini wanafanya hivyo kwa kutumia nguvu kubwa zaidi ili kumkaribia au kumzidi Manara.
Wali pump watu actively kwenda uwanjani siku ya Simba day. Kumleta mpaka Mpoto, Prof J, Masau Bwire, wakongo, Salama Ngale, nk, nk, nk, nk, nk,nk, ni kuonyesha namna Simba ilivyoathirika kwa kuondokewa na Manara. Manara alikuwa akiujaza uwanja kwa mike tu bila kupewa kitu chochote. Kuna watoto wadogo wengi sana mitaani waliipenda simba na kuichukia Yanga kutokana na Manara. Sasa hivi kuna watoto wengi wataipenda Yanga na kuichukia Simba kutokana na Manara. Hakuna ubishi Manara Mwenyezi Mungu amembariki./
Ushauri wangu Simba watume wazee wenye akili waende kumuona Haji. Simba itazidi kupoteana kama mashabiki watazidi kumkejeli Manara na mporomoko huu utakuwa dhahiri siku Simba ikifungwa na Yanga.
Binafsi Mimi ni Simba toka utotoni Ila issue ya kuondoka kwa Manara imeniumiza Sana. Mpaka naiwaza Yanga kitu ambacho sikuwahi kufanya. Haki yake mpeni Manara ni super Mhamasishaji.
Yanga wakimpa nafasi Manara ataifuta Simba.
Zoom picha za simba day utakubali mwenyewe kuwa waliokwenda na jezz za zamani walikuwa kibaoAcha uongo nilikuwa uwanjani tena nilikaa VIP B mashabiki wote walikuwa na jezi mpya Hadi wadada walivaa jezi za kike hyo kusoma jezi za zamani si kweli tena ngoja nitafte picha nilizopiga uwanja wa taifa, kwanini unadaganya mchana kweupe for whose benefits why lying.
Hafu huyo mzungu pori hata hakutamkwa hata na mtu yoyote tulikuwa na vibe la simba day tena uzuri tulitumia wasanii wetu wadogo na shoo ilibamba kuliko nyie mulimuleta koffi Olomide ambaye performance yake ilikuwa ndogo.
Shida muliyo nayo Yanga ni ku invest kwenye propoganda ndio maana mumetolewa hatua za awali kabisa, Yani huyo manara ndio nembo yenu badala ya ushindi, nyie ni useless aisee, dundahead
Kofi alikuja bureee kabisa,kutumbuiza wakongo wenzie,ni Kama vile Kabwili alivyowaburudisha wabongo wenzake [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Sasa nyie mlimleta mpaka Kofi Olomide hamkumwaga pesa apo?
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Kwa hiyo ww hadi wakupige jeki ndipo uamke na uanze kuishangilia timu. Simba inawenyewe broh utajiangusha bureBinafsi Mimi ni Simba toka utotoni Ila issue ya kuondoka kwa Manara imeniumiza Sana. Mpaka naiwaza Yanga kitu ambacho sikuwahi kufanya. Haki yake mpeni Manara ni super Mhamasishaji.
Yanga wakimpa nafasi Manara ataifuta Simba.
Kuna muda kuwajbu mashabik wa yanga ni kupoteza muda sometimes wanakua na hoja mufilisi leo ili kesho ili ,jana wanalitamba wao nugaz kasabisha wawe weng viwanjan kwaiyo kamfunika manara leo uyu anasema manara ndio aliekua anajaza watu viwanjan,anasahau mwaka jana simba day pamoja kuwa na manara kuwa na zuchu kuingia na chopa lkn haikujaza kama mwaka huu ,kingine hakuna tamasha kat ya simba day au hao yanga likawa na mc mmoja ata alipokuwa haji simba alikua anasaidiwa na hakina fatuma chikawe hakina hashimu ibwe na wengine ,sasa haji hayupo walitaka wachezaj atambulishe nan kama sio watu au mtu mwingineAcha uongo nilikuwa uwanjani tena nilikaa VIP B mashabiki wote walikuwa na jezi mpya Hadi wadada walivaa jezi za kike hyo kusoma jezi za zamani si kweli tena ngoja nitafte picha nilizopiga uwanja wa taifa, kwanini unadaganya mchana kweupe for whose benefits why lying.
Hafu huyo mzungu pori hata hakutamkwa hata na mtu yoyote tulikuwa na vibe la simba day tena uzuri tulitumia wasanii wetu wadogo na shoo ilibamba kuliko nyie mulimuleta koffi Olomide ambaye performance yake ilikuwa ndogo.
Shida muliyo nayo Yanga ni ku invest kwenye propoganda ndio maana mumetolewa hatua za awali kabisa, Yani huyo manara ndio nembo yenu badala ya ushindi, nyie ni useless aisee, dundahead
Binafsi Mimi ni Simba toka utotoni Ila issue ya kuondoka kwa Manara imeniumiza Sana. Mpaka naiwaza Yanga kitu ambacho sikuwahi kufanya. Haki yake mpeni Manara ni super Mhamasishaji.
Yanga wakimpa nafasi Manara ataifuta Simba.
Pamoja na hayo wametolewa champions League round ya kwanza tu kwa kufungwa nyumbani na ugeniniIli kukabiliana na athari za kuondoka kwa Haji manara Simba walilazimika kuingia mifukoni ili kufanikisha Simba day. Manara effect iliwaandama na inazidi kuwaandama Simba. Kila wanachofanya wanafanya ili kuzifuta nyao za Manara lakini wanafanya hivyo kwa kutumia nguvu kubwa zaidi ili kumkaribia au kumzidi Manara.
Wali pump watu actively kwenda uwanjani siku ya Simba day. Kumleta mpaka Mpoto, Prof J, Masau Bwire, wakongo, Salama Ngale, nk, nk, nk, nk, nk,nk, ni kuonyesha namna Simba ilivyoathirika kwa kuondokewa na Manara. Manara alikuwa akiujaza uwanja kwa mike tu bila kupewa kitu chochote. Kuna watoto wadogo wengi sana mitaani waliipenda simba na kuichukia Yanga kutokana na Manara. Sasa hivi kuna watoto wengi wataipenda Yanga na kuichukia Simba kutokana na Manara. Hakuna ubishi Manara Mwenyezi Mungu amembariki./
Ushauri wangu Simba watume wazee wenye akili waende kumuona Haji. Simba itazidi kupoteana kama mashabiki watazidi kumkejeli Manara na mporomoko huu utakuwa dhahiri siku Simba ikifungwa na Yanga.
Unafahamu gharama za kumleta Koffi Olomide kutoka Ufaransa? Unadhani hizo gharama ni za kitoto kulinganisha na wasanii ishirini wa hapa hapa mjini? Mbaya zaidi, Koffi mwenyewe akaja kupiga muziki kutoka kwenye flash ya 8GBIli kukabiliana na athari za kuondoka kwa Haji manara Simba walilazimika kuingia mifukoni ili kufanikisha Simba day. Manara effect iliwaandama na inazidi kuwaandama Simba. Kila wanachofanya wanafanya ili kuzifuta nyao za Manara lakini wanafanya hivyo kwa kutumia nguvu kubwa zaidi ili kumkaribia au kumzidi Manara.