kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
Kwamba Manara aliujaza uwanja kwa mike?
Huu ndio utopolo ambao mtu asiyefikiri tu ndiye ataukubali.
Watu wanavutiwa na wachezaji na kupata matokeo na si vinginevyo.Tofauti na utopolo wao wanaujaza uwanja kwa kufanganywa na kuaminishwa usajili ni mkubwa wa kuchukua ubingwa Afrika.
Ndio maana uongo wenu wakishauzoea,wanaojaza mechi zenu ni mashabiki wa Simba kwenda kufurahia mtu anavyobinuliwa.

Ili kukabiliana na athari za kuondoka kwa Haji manara Simba walilazimika kuingia mifukoni ili kufanikisha Simba day. Manara effect iliwaandama na inazidi kuwaandama Simba. Kila wanachofanya wanafanya ili kuzifuta nyao za Manara lakini wanafanya hivyo kwa kutumia nguvu kubwa zaidi ili kumkaribia au kumzidi Manara.
Wali pump watu actively kwenda uwanjani siku ya Simba day. Kumleta mpaka Mpoto, Prof J, Masau Bwire, wakongo, Salama Ngale, nk, nk, nk, nk, nk,nk, ni kuonyesha namna Simba ilivyoathirika kwa kuondokewa na Manara. Manara alikuwa akiujaza uwanja kwa mike tu bila kupewa kitu chochote. Kuna watoto wadogo wengi sana mitaani waliipenda simba na kuichukia Yanga kutokana na Manara. Sasa hivi kuna watoto wengi wataipenda Yanga na kuichukia Simba kutokana na Manara. Hakuna ubishi Manara Mwenyezi Mungu amembariki./
Ushauri wangu Simba watume wazee wenye akili waende kumuona Haji. Simba itazidi kupoteana kama mashabiki watazidi kumkejeli Manara na mporomoko huu utakuwa dhahiri siku Simba ikifungwa na Yanga.