Bila kukusudia Haji Manara ameitia hasara kubwa Simba, Inaugua ugonjwa wa Manara Syndrome

Binafsi Mimi ni Simba toka utotoni Ila issue ya kuondoka kwa Manara imeniumiza Sana. Mpaka naiwaza Yanga kitu ambacho sikuwahi kufanya. Haki yake mpeni Manara ni super Mhamasishaji.
Yanga wakimpa nafasi Manara ataifuta Simba.
 



kaka rudi kaangalie clip za simba day mwaka jana then tafakari.. tena Manara ndo alijinasibu kuwa Simba watajaza viwanja vyote viwili ila Mkapa stadium hata nusu haikufika pamoja na Diamond kufanya shoo.. sasa utasemaje kuwa Mwaka huu bila Manara Simba wameingia gharama sababu manara hayupo
 
Zoom picha za simba day utakubali mwenyewe kuwa waliokwenda na jezz za zamani walikuwa kibao
 
return the champion imeishia wapi, visit kilimanjaro na zanzibar imeishia wapi, ukishajua zimeishia wapi ndio ukae na kutunga uzi mwingine
 
Binafsi Mimi ni Simba toka utotoni Ila issue ya kuondoka kwa Manara imeniumiza Sana. Mpaka naiwaza Yanga kitu ambacho sikuwahi kufanya. Haki yake mpeni Manara ni super Mhamasishaji.
Yanga wakimpa nafasi Manara ataifuta Simba.
Kwa hiyo ww hadi wakupige jeki ndipo uamke na uanze kuishangilia timu. Simba inawenyewe broh utajiangusha bure
 
Kuna muda kuwajbu mashabik wa yanga ni kupoteza muda sometimes wanakua na hoja mufilisi leo ili kesho ili ,jana wanalitamba wao nugaz kasabisha wawe weng viwanjan kwaiyo kamfunika manara leo uyu anasema manara ndio aliekua anajaza watu viwanjan,anasahau mwaka jana simba day pamoja kuwa na manara kuwa na zuchu kuingia na chopa lkn haikujaza kama mwaka huu ,kingine hakuna tamasha kat ya simba day au hao yanga likawa na mc mmoja ata alipokuwa haji simba alikua anasaidiwa na hakina fatuma chikawe hakina hashimu ibwe na wengine ,sasa haji hayupo walitaka wachezaj atambulishe nan kama sio watu au mtu mwingine
 
Ko hapo manara umefanya kubadili jina halafu umeanzisha uzi wa kutafuta huruma kutoka kwa wazee wa simba
 
Binafsi Mimi ni Simba toka utotoni Ila issue ya kuondoka kwa Manara imeniumiza Sana. Mpaka naiwaza Yanga kitu ambacho sikuwahi kufanya. Haki yake mpeni Manara ni super Mhamasishaji.
Yanga wakimpa nafasi Manara ataifuta Simba.

comment hii inahitaji tuzo ya kuchekesha [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Pamoja na hayo wametolewa champions League round ya kwanza tu kwa kufungwa nyumbani na ugenini
 
Washabiki wa Yanga ni sahihi kuitwa misukule, wanatumia nguvu kubwa kupamba timu mbovu iliyopoteza ladha na ushawishi Afrika nzima.

Yaani hata 70 bora ya vilabu Afrika haimo! Hivi nyie utopolo mna akili timamu?

Badala ya kuwakosoa na kuwahanikiza viongozi wenu wachukue hatua nyie mnatumia nguvu kubwa kuziba mapungufu ya timu yenu, ili iweje?

Pazeni sauti achaneni na kujiweka kundi moja na Simba SC, iko mbele mara ishirini yenu.

Si jambo la kawaida kwa klabu toka Tanzania kuanzia hatua ya mtoano kwenye CAF CL. Kuweni na kiu ya kufika ilipo Simba SC acheni ujinga wa kujifariji mambo ya kipuuzi.
 
Unafahamu gharama za kumleta Koffi Olomide kutoka Ufaransa? Unadhani hizo gharama ni za kitoto kulinganisha na wasanii ishirini wa hapa hapa mjini? Mbaya zaidi, Koffi mwenyewe akaja kupiga muziki kutoka kwenye flash ya 8GB
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…