Bila kukusudia Haji Manara ameitia hasara kubwa Simba, Inaugua ugonjwa wa Manara Syndrome

Kwamba Manara aliujaza uwanja kwa mike?
Huu ndio utopolo ambao mtu asiyefikiri tu ndiye ataukubali.

Watu wanavutiwa na wachezaji na kupata matokeo na si vinginevyo.Tofauti na utopolo wao wanaujaza uwanja kwa kufanganywa na kuaminishwa usajili ni mkubwa wa kuchukua ubingwa Afrika.
Ndio maana uongo wenu wakishauzoea,wanaojaza mechi zenu ni mashabiki wa Simba kwenda kufurahia mtu anavyobinuliwa.
 
Wacha uongo, Simba ilikuwa inachapwa 5-0 lakini Manara aliwajaza uwanjani kwa hamasa zake finafsi za DO or DIE, War in Dar na Simba wote walikuwa wakiitikia chorus ya nyimbo za Manara za do or die, war in dar, utopolo, pira biriani, nk. Eti ell Sasa wanasema Haji hakufanya kitu Simba.
 
Jezi za Yanga za msimu uliopita mpaka sasa ziko sokoni,na zinanunulika kama njugu,raha ya jezi za Yanga azihusiki kwa kipindi flan tu,hizi za msimu huu hadi msimu ujao watu watazinunua
Umeelewa hoja iliyokuwepo au unakurupuka tu kujibu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…