Bila kumuhudumia mwanamke unaachwa?

Shining Light

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2024
Posts
406
Reaction score
523
Ikiwa hutokuwa mwaminifu kwa Mke wako,
Kuna uwezekano mdogo atakuacha.

Ikiwa utaonyesha uaminifu kwa mke wako,
Lakini utashindwa kumhudumia kiuchumi,
Kuna uwezekano mkubwa sana atakuacha.

Wanawake wengi wanaweza kusamehe ukosefu wa uaminifu.
Wanawake wachache wanaweza kuvumilia hali ya kiuchumi.

Nini mtazamo wako katika hili?
 
we dont care about them kama hao wanawake hawana uvumilivu kwa uchumi wa waume zao, let them quit isiwe taabu
 
Na ndiyo ukweli
 
Na je usipo mpelekea moto au mashine ipaswavyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…