Traveller TM
Senior Member
- May 6, 2024
- 129
- 228
Guys Guys
Ni balaaWanaongea haooo 😂
Je hiyo ni namna mpya ya kuwatambua Gen Z ama?Wakuu naomba tutambuane kwa code maalumu leo!
Achana na majina yako na vyeo vyako, em comment maneno unayoongea kila wakati ukiwa kazini kwako ili tukutambue unafanya kazi gani. Nasoma comment chini.
View attachment 3509806
Hapo hapo, hivyo hivyoooo 😎Wakuu naomba tutambuane kwa code maalumu leo!
Achana na majina yako na vyeo vyako, em comment maneno unayoongea kila wakati ukiwa kazini kwako ili tukutambue unafanya kazi gani. Nasoma comment chini.
View attachment 3509806
Sales Person 😜hii haina kipengele labda uje nacho wewe
😂Sales Person 😜