MLIMAWANYOKA
JF-Expert Member
- Oct 25, 2019
- 631
- 2,247
Ndiyo huo mwaka hakukuwa na mtihani wa taifa wa agriculture wala commerceWe are sharing the same story.. kwa kuongezea tuu, ni mwaka ambao mtihani wa hesabu uliahirishwa na kufanyika tarehe 27/10/.....
Naskia mlipotoka exam room mlikua mnaimba Mwanameka tu.Nilimaliza mwaka ambao wimbo wa mwanameka ndo ulitoka kwenye mtihani wa kiswahili...
Dah! Bro. Ufafanuzi kidogo...mziki kwenye mtihani tena.Nilimaliza mwaka ambao wimbo wa mwanameka ndo ulitoka kwenye mtihani wa kiswahili...
You are too young my broo...hiyo ni way back 19982012 hii
2012 wanafunzi hawakurudia mitihani Bali ilisahishwa upya mitihani ile ile mwaka ambao mitihani ilifutwa wakafanya upya ni 1998.2012 hii
Wewe wa 98 kisha ukarudia Jan 99 hatari sanaMimi nilimaliza mwaka ambao mitihani ilifutwa tukarudia tena. Wakongwe najua watakuwa wameng'amua...
Kwa upande wako, ulimaliza mwaka gani bila kututajia mwaka?
Kweli kabisa ...2012 mitihani haikufutwa ila walifuta matokeo wakapanga upyaYou are too young my broo...hiyo ni way back 1998