Bila kututajia mwaka, tuambie ulimaliza form four mwaka gani?

Bila kututajia mwaka, tuambie ulimaliza form four mwaka gani?

Nlianza elimu yangu mwanzo wa mkapa hadi mwisho wa mkapa form four
 
Mimi nilimaliza mwaka ambao mitihani ilifutwa tukarudia tena. Wakongwe najua watakuwa wameng'amua...

Kwa upande wako, ulimaliza mwaka gani bila kututajia mwaka?
mimi nilimaliza mwaka ule mliorudia mitihani january...
 
Miaka miwili baada ya kutangazwa na serikali kwamba st.kayumba ada nin 20,000/=
 
bado narudia kama PC (private candidate)....nikimaliza ntawaambia mwaka vizuri.
 
Back
Top Bottom