ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Elimu imefanyaje?Elim,utawala wa sheria,GDP na sector zote
Utawala wa sheria umefanyaje?
GDP ambayo out of sh.100 wanatumia 61 kulipa deni? GDP gani imeshindwa kuondoa njaa,kuleta maji na kusambaza umeme Vijijini?
Sekta zote zipi?
Nasisitiza hakuna faida yeyote Kwa Mwananchi kuwa na kinachoitwa Katiba Mpya,kinasaiida Wanasiasa ambao siasa ndio kazi Yao so wapumbavu ndio mtashadidia hiyo.
By the way Katiba ya Tanzania Ina provide hayo Kwa Ukubwa sana na ndio maana hakuna upuuzi hapa Tanzania ikiwemo njaa.