instinct desire
JF-Expert Member
- Mar 17, 2026
- 2,503
- 1,757
sure,Lissu alifanyia kosa kubwa sana kwa kuwachafua viongozi waliokuwepo kwa shutuma za uongo kwahyo alijitenezea maadui ....in short lissu siyo kiongozi
Just a single condom would have saved us from this idiot called instinct desireLissu alifanyia kosa kubwa sana kwa kuwachafua viongozi waliokuwepo kwa shutuma za uongo kwahyo alijitenezea maadui ....in short Lissu siyo kiongozi
View attachment 3667918
View attachment 3667919
Ficha ujinga wako usipende kujitafutia mitusi isiyokuwa na ulazima wowote.Lissu alifanya kosa kubwa sana kwa kuwachafua viongozi waliokuwepo kwa shutuma za uongo kwahyo alijitengenezea maadui ambao wanamtesa mpaka leo....in short Lissu siyo kiongozi
View attachment 3667918
View attachment 3667919
Mwanaume anakabidhi mke na watoto kwa mabeberuLISSU NDIYE MWANAUME ANAYEOGOPWA NA CCM YOOOOOOTE HADI WATOTO WASIOZALIWA
Beberu ni nani? Hili neno umelijulia hapa jf? Watoto wa viongozi wote wa ccm wapo ulaya wanasoma shule nzuri wewe wanao wapo manzese unashupaza shingo kwa watoto wa lisu. Pumbavu na nusuMwanaume anakabidhi mke na watoto kwa mabeberu
Samia bila ya kutumia nguvu za dola na kuuwa watu asingeshinda uchaguzi.Lissu alifanya kosa kubwa sana kwa kuwachafua viongozi waliokuwepo kwa shutuma za uongo kwahyo alijitengenezea maadui ambao wanamtesa mpaka leo....in short Lissu siyo kiongozi
View attachment 3667918
View attachment 3667919
mama yako ndio ana rekodi gani zaidi ya UFISADI?sure,
huyo muungwana hana sifa za asili za uongozi na ndio maana hana records zozote zile za kujenga bali kubomoa tu,
kwa mfano alipokua mbunge, hana record yoyote ya maendeleo singida Mashariki, lakini pia alipokua rais wa TLS na hata kua mwenyekiti wa chadema, records zake ni kubomoa tu 🐒
Ulitaka akukabidhi wewe kwa mabeberu,...Mwanaume anakabidhi mke na watoto kwa mabeberu
jikite tu moja kwa moja kwenye hoja mahususi mezani bila mihemko gentleman na itapendeza zaidi 🐒mama yako ndio ana rekodi gani zaidi ya UFISADI?
Jizi, liuaji likiwa na dalali wa siasa
Mjane ambae aliikanyaga katiba ya CCM hivi angeshinda nafasi ya kugombea uraisi kama angefuata taratibuLissu alifanya kosa kubwa sana kwa kuwachafua viongozi waliokuwepo kwa shutuma za uongo kwahyo alijitengenezea maadui ambao wanamtesa mpaka leo....in short Lissu siyo kiongozi
View attachment 3667918
View attachment 3667919
Jitu la hatari sana! Damu za makamanda wengi zinalililia. Lisaliti likubwa!Jizi, liuaji likiwa na dalali wa siasa
Kaishiwa power!Lissu alifanya kosa kubwa sana kwa kuwachafua viongozi waliokuwepo kwa shutuma za uongo kwahyo alijitengenezea maadui ambao wanamtesa mpaka leo....in short Lissu siyo kiongozi
View attachment 3667918
View attachment 3667919
Beberu ni nani? Hili neno umelijulia hapa jf? Watoto wa viongozi wote wa ccm wapo ulaya wanasoma shule nzuri wewe wanao wapo manzese unashupaza shingo kwa watoto wa lisu. Pumbavu na nusu