Bila kuwachafua wenzake kwa shutuma za uongo Lissu asingeshinda uwenyekiti

Lissu alifanya kosa kubwa sana kwa kuwachafua viongozi waliokuwepo kwa shutuma za uongo kwahyo alijitengenezea maadui ambao wanamtesa mpaka leo....in short Lissu siyo kiongozi

View attachment 3667918
View attachment 3667919
Yaani aliwachafua hawa ambao sasa hivi wanajichafua wenyewe openly? Obviously walishagundulika wako upande gani kabla hawajajionyesha hadharani hivyo literally ni kwamba walijichafua wenyewe kama ambavyo wanaendelea kujichafua.
 
Lissu alifanya kosa kubwa sana kwa kuwachafua viongozi waliokuwepo kwa shutuma za uongo kwahyo alijitengenezea maadui ambao wanamtesa mpaka leo....in short Lissu siyo kiongozi

View attachment 3667918
View attachment 3667919
Lissu aliwasaidia sana watanzania kujua aina ya wapinzani wanaowaamini.
Mimi mwenyewe nilikuwa nabisha kwamba mbowe hawezi kuwa dalali, kumbe bwana ni bonge la dalali sasa limeamua kujitokeza wazi wazi.
 
Lissu siyo kiongozi ni tapeli
 
Lissu alifanya kosa kubwa sana kwa kuwachafua viongozi waliokuwepo kwa shutuma za uongo kwahyo alijitengenezea maadui ambao wanamtesa mpaka leo....in short Lissu siyo kiongozi

View attachment 3667918
View attachment 3667919
Screenshot_20250729-090555~2.png
 
Hata magu bila kumtukana lowassa na akiwa na napi na wenzake wasingeshinda, na mkwere bila kumtukana Salim A S, asingekwenda popote, so ni name of the game ya kibongo. We mwenyewe ulipata demu/mke kwa kutukana maex wake na mwigule kila siku anatukana tu awe relevant

Kibongobongo ndio modus operandi kijana
 
Back
Top Bottom