Bila kuwachafua wenzake kwa shutuma za uongo Lissu asingeshinda uwenyekiti

Lissu alifanyia kosa kubwa sana kwa kuwachafua viongozi waliokuwepo kwa shutuma za uongo kwahyo alijitenezea maadui ....in short lissu siyo kiongozi
sure,
huyo muungwana hana sifa za asili za uongozi na ndio maana hana records zozote zile za kujenga bali kubomoa tu,

kwa mfano alipokua mbunge, hana record yoyote ya maendeleo singida Mashariki, lakini pia alipokua rais wa TLS na hata kua mwenyekiti wa chadema, records zake ni kubomoa tu πŸ’
 
mama yako ndio ana rekodi gani zaidi ya UFISADI?
 
Beberu ni nani? Hili neno umelijulia hapa jf? Watoto wa viongozi wote wa ccm wapo ulaya wanasoma shule nzuri wewe wanao wapo manzese unashupaza shingo kwa watoto wa lisu. Pumbavu na nusu

Bora umuambie huyo puuzi la mboga mboga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…