MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Ajabu kaishia katiWalahi hii ni untold story
Na treni nayo itakuwa inapigwa tochiTraffic wakipiga tochi wanaona gari imesimama kumbe inatembea spidi 100.
Mafundi wanatengeneza gari likiwa kwenye mwendoGereji kwa mwaka utakuwa unaenda mara moja kwa mwaka.
Tuliuliza kwanini treni ijalibiwe usiku saa 3 tukatukanwa sana humu kumbe kuna watu walipewa kazi ya kushika mikobaJana wakati kichwa cha treni yetu ya SGR inafanya majaribio nilishtuka kuona imefungwa kiatu cha mtoto. Ndio nilipowauliza wazee wakanipa majibu.