Bila kuweka kiatu cha mtoto kwenye gari ya biashara huwezi kutoboa

Karibu Afrika.

Jana wakati kichwa cha treni yetu ya SGR inafanya majaribio nilishtuka kuona imefungwa kiatu cha mtoto. Ndio nilipowauliza wazee wakanipa majibu.

Huwezi kubreak even bila kuweka kiatu cha mtoto kwenye gari ya biashara wataalam wanasema.
Tazama comment hii👇

Screenshot_20231201_222527_Samsung Internet.jpg
 
Karibu Afrika.

Jana wakati kichwa cha treni yetu ya SGR inafanya majaribio nilishtuka kuona imefungwa kiatu cha mtoto. Ndio nilipowauliza wazee wakanipa majibu.

Huwezi kubreak even bila kuweka kiatu cha mtoto kwenye gari ya biashara wataalam wanasema.
Screenshot_20231201_223044_Samsung Internet.jpg
 
Wengine rozari .

Wengine viatu vya watt haswaa daladala nyingi.

Wengine vimdoli.

Wengine Pete .

Wengine vitambaa

Wengine fuvu la kuchonga .

Bac n vurugu tupuu[emoji28]
 
Karibu Afrika.

Jana wakati kichwa cha treni yetu ya SGR inafanya majaribio nilishtuka kuona imefungwa kiatu cha mtoto. Ndio nilipowauliza wazee wakanipa majibu.

Huwezi kubreak even bila kuweka kiatu cha mtoto kwenye gari ya biashara wataalam wanasema.

Traffic wakipiga tochi wanaona gari imesimama kumbe inatembea spidi 100.

Gereji kwa mwaka utakuwa unaenda mara moja kwa mwaka.

Noma sana
Ujinga tu.
 
Back
Top Bottom