Bila La Masia Spain isingebeba Kombe la Dunia 2026, hawa ni wachezaji waliopitia La Masia (academy ya Barça)

Kitendo cha Messi kuinua mkono na kulazimisha/kumwaminisha Refa kwamba Mark Cucu ameziba mdomo wakati si kweli, ili tuu apewe kadi nyekundu jana sio kitendo cha kiiungwana katika michezo. Ukizidiwa kubali kuwa umezidiwa ndio mchezo.

Huwezi pewa mchezaji bora wa tournament namna ile!
 
Jamaa mbea sana
 
Wapi wameeleza ili uwe goat ni hadi ubebe back to back?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…