Bila La Masia Spain isingebeba Kombe la Dunia 2026, hawa ni wachezaji waliopitia La Masia (academy ya Barça)

Attachments

  • IMG-20260720-WA0000.jpg
    IMG-20260720-WA0000.jpg
    129.4 KB · Views: 11
Kitendo cha Messi kuinua mkono na kulazimisha/kumwaminisha Refa kwamba Mark Cucu ameziba mdomo wakati si kweli, ili tuu apewe kadi nyekundu jana sio kitendo cha kiiungwana katika michezo. Ukizidiwa kubali kuwa umezidiwa ndio mchezo.

Huwezi pewa mchezaji bora wa tournament namna ile!
 
Jamaa mbea sana
1784546635540.jpg

Kitendo cha Messi kuinua mkono na kulazimisha/kumwaminisha Refa kwamba Mark Cucu ameziba mdomo wakati si kweli, ili tuu apewe kadi nyekundu jana sio kitendo cha kiiungwana katika michezo. Ukizidiwa kubali kuwa umezidiwa ndio mchezo.

Huwezi pewa mchezaji bora wa tournament namna ile!
 
Bottom line, Messi hajachukua world cup back to back. Angekuchukua ingemfanya kuwa GOAT(Greatest Of All Times) bila mjadala, kwa sasa the debate is still on.

Hata hivyo, the football has graced us with two of the most decorated footballers the world has ever seen(Messi and Ronaldo), ukibeza ni wewe...
Wapi wameeleza ili uwe goat ni hadi ubebe back to back?
 
Back
Top Bottom