Mikopo Consultant
JF-Expert Member
- Oct 28, 2024
- 2,375
- 4,784
- Thread starter
- #21
Kwa sasa maandamano yametiwa unajisi na yameharanishwa. Hiyo ndo reality on the ground kwa sasa.Kwahiyo kukushauri uandamane ndo ushari
Wewe najua unakejeli kwa sasa, lakini reality on the ground miaka 5 mpaka 10 itakuwa ya tofauti sana. Nchi ikishakuwa na vijana jadidi milioni 70, hauta inia mdomo wako tena kuwakejeli kwamba watoke wakaandamane.