Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wakuu,
Ni dhahiri shahiri kuwa hakuna kitu Sisiemu wanaogopa kama Marekani na nchi za Ulaya.
Kwa haya yanayoendelea ikiwemo wizi wa kura na kuua wapinzani ni wazi kuwa ingekuwa ni amri yao CCM ingekuwa imeshafuta upinzani.
The only reason they are not doing it (kufuta upinzani) it's because wanaogopa "wahisani" na nchi wanazoziita za "kibeberu" kama Marekani na nchi za Umoja wa Ulaya.
Soma pia: Mbinu za wizi wa kura zinazotumiwa na CCM zabainika; ni hizi hapa
Na ndo maana hata baada ya kiongozi Fulani kusema kuwa Serikali ya Tanzania inawasaka na kutafuta wa Alphabet Community serikali ilijitokeza kupinga kauli yake.
Tukumbuke tu Marekani for the last 20 years imetoa Dola Bilioni 7 kama msaada (sio mikopo) hapo sijataja Ujerumani, Ufaransa, Ubelgiji etc.
Kukosa pesa na misaada kutoka nje ndo kitu pekee kinachofanya "demokrasia" iwepo Tanzania.
Siku Marekani na washirika wake wakianguka kiuchumi mjue na sisi wananchi wa kawaida tutafanywa kuwa watumwa wa watawala.
Tanzania itakuwa ni North Korea ya Kim Jong Un 2.O !