Bila Mzee Jakaya Kikwete leo tusingekuwa na UDOM

Ndio wasomi wetu hao. Ukisikia mtu anasema rais ametoa fedha, rais amejenga choo, tunaiomba serikali jua hilo ni tatizo
Ni ujuha rais anatoa hela wapi kama sio zetu?

Majuzi niliona mkutano wa ccm wa kata yaani nilipata hasira sana
Viongozi wanafanywa kama miungu watu yaani na wananchi wenyewe hali zetu mbaya nikasikitika ..kisha nikaendelea zangu na safari yangu

Mama mtu mzjma anampigia magoti mwenyekiti ccm sijui wilaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…