Bila Mzee Jakaya Kikwete leo tusingekuwa na UDOM

Bila Mzee Jakaya Kikwete leo tusingekuwa na UDOM

Unaona hiyo ni hisani ya JK na siyo wajibu wa serikali yake?

Dahh! Wasomi wa nchi hii mmekuwaje?
UDOM mwanzilishi wake B.W, Mkapa
Kuwa straight basi acha bias. Mbona wengine unasema hisani Yao na sio wajibu wa serikali au kwa kuwa anatoka kule kule?
 
Katika mengi aliyofanya Mstaafu JK Ni kuanzisha UDOM pamoja na kupata upinzani Kamati Kuu/Halmashauri Kuu.
#Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni#
Kila kikubwa unachokiona Tanzania leo hii, ni plan za Kikwete, hata reli na bwawa la Steigler yote hayo ni mambo ya Kikwete.

Tanzania bado hatujapata Rais kwa Kikwete na hatutapata.
 
Kila kikubwa unachokiona Tanzania leo hii, ni plan za Kikwete, hata reli na bwawa la Steigler yote hayo ni mambo ya Kikwete.

Tanzania bado hatujapata Rais kwa Kikwete na hatutapata.
Takbiir
 
UDOM imejengwa kifisadi hatari, gharama za UDOM kiuhalisia leo tungekuwa na UDOM 3 sehemu tofauti nchini!.
 
JK mwanaume tena haikuwa ktk ilani ya CCM,ni chuo kikuwa zaidi ya vyote Afrika mashariki na kati,Watoto wa maskini wa shule za kata wamejazana huko,na yeye ndie aliejenga shule za kata 90%.
 
JK kafanya mengi Ila kashindwa kujenga barabara ya kwenda kwao ukitokea Dar. Kipindi nanunua gari langu la kwanza nilikua NATUMIA lisaa limoja toka Dar Hadi Chalinze kwa kina Kukwete. Leo hii kutoka Dar Ilala Hadi Chalinze sio chini ya masaa matatu muda wa asubuhi, ikifika alasiri Ni zaidi ya masaa sita. Hapo ukute hakuna ajali.
Magufuli kakaa ikulu kidogo tu kajenga Hadi eapoti kule kwao na Ile Mfugale tower.
Mama kaingia juzi juzi tu wazanzibara wako huku Hadi wakuu wa wilaya na wakuu wa taasisi mbali mbali kutoka kisiwa Cha unguja
 
Kwaio alijenga kwa fedha zake za mfukoni ama?
Muwe mnatumua akili hata kidogo
 
JK kafanya mengi Ila kashindwa kujenga barabara ya kwenda kwao ukitokea Dar. Kipindi nanunua gari langu la kwanza nilikua NATUMIA lisaa limoja toka Dar Hadi Chalinze kwa kina Kukwete. Leo hii kutoka Dar Ilala Hadi Chalinze sio chini ya masaa matatu muda wa asubuhi, ikifika alasiri Ni zaidi ya masaa sita. Hapo ukute hakuna ajali.
Magufuli kakaa ikulu kidogo tu kajenga Hadi eapoti kule kwao na Ile Mfugale tower.
Mama kaingia juzi juzi tu wazanzibara wako huku Hadi wakuu wa wilaya na wakuu wa taasisi mbali mbali kutoka kisiwa Cha unguja
Hizo ndiyo akili za mende. Anakula vya kwenye kabati halafu anaishi kwenye karo la maji machafu. Embezzler unasifia ujinga
 
Katika mengi aliyofanya Mstaafu JK Ni kuanzisha UDOM pamoja na kupata upinzani Kamati Kuu/Halmashauri Kuu.
#Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni#
Hii ni taarifa ina mapungufu. Ukweli ni huu hapa.

Benjamin Mkapa akiwa anamaliza kipindi chake cha U-Rais pale Oktoba/ Novemba 2005 alianza kwa kuurudisha ukumbi wa mikutano wa Chimwaga kutoka CCM na kuukabidhi kwa Serikali. Baada ya hapo akatoa amri ya kuanzisha chuo cha UDOM. Kwa hiyo UDOM imeanzishwa na Mkapa kwenye jengo la Chimwaga.

Kuhusu JK. Ni kweli JK ndiye aliye kipanua kwenye ukubwa kilionao kwa sasa kwa kushirikisha mifuko ya hifadhi ya jamii.

Kama yeyote atabishiq taarifa hii atakuwa ni mlemavu wa akili, sina namna ya kumsaidia
 
Back
Top Bottom