Bila Mzee Jakaya Kikwete leo tusingekuwa na UDOM

Bila Mzee Jakaya Kikwete leo tusingekuwa na UDOM

Mpaka Leo fedha za mashirika ya pensheni na bima ya afya zilizotumika kujenga udom mikataba yoke haijulikani. Lowassa alitumia nguvu kulazimisha mifuko itoe fedha.

Hii ni moja ya sababu za kuyumba kwa mifuko kiuchumi, fedha hazijarudishwa
 
Hakulazimika kuanzisha Chuo Kikuu kipya. Angeweza kukauka na hakuna kitu ungefanya
Bado unatetea ujinga wako!
Hayo Ni majukumu ya serikali sio Hisani!
Hata Kama asingefanya ingekuwa ni udhaifu wa serikali yake!
 
Katika mengi aliyofanya Mstaafu JK Ni kuanzisha UDOM pamoja na kupata upinzani Kamati Kuu/Halmashauri Kuu.
#Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni#
Of what use? Ina msàada gani inatoa products takataka
 
Aliyetumia mamlaka aliyokuwa nayo kuzuia yale majengo yasinyakuliwe na CCM yabakie Serikalini ni Hayati B.M Mkapa ,aliyeidhinisha uanzishwaji wa UDom ni Mh.J.M Kikwete.
 
Kabla hamjaleta vitu fanyieni tafiti UDOM ni ya mkapa na mpaka leo pesa alizokomba kwa kivuli cha kukopa mfuko hifadhi ya jamii serikali haijarudisha. Na wasataafu hawana hamu

Kikwete labla useme ,aliendeleza alipoishia mzee mkapa na hata daraja la nyerere kigamboni ni mkapa
 
Katika mengi aliyofanya Mstaafu JK Ni kuanzisha UDOM pamoja na kupata upinzani Kamati Kuu/Halmashauri Kuu.
#Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni#
Hiyo UDOM imeusaidia nini nchi so far? Hasara tu.
 
Katika mengi aliyofanya Mstaafu JK Ni kuanzisha UDOM pamoja na kupata upinzani Kamati Kuu/Halmashauri Kuu.
#Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni#
Lakini alianza Mkapa Kwa kutoa iliyokuwa Chimwaga na JK akajenga Chuo hicho na Hostel za Udsm.
 
Katika mengi aliyofanya Mstaafu JK Ni kuanzisha UDOM pamoja na kupata upinzani Kamati Kuu/Halmashauri Kuu.
#Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni#
Kila Rais kuna kitu alianzisha, hivyo njoo taratibu na hiyo mbeleko ya JK.
 
Back
Top Bottom