Bila Mzee Jakaya Kikwete leo tusingekuwa na UDOM

Katika mengi aliyofanya Mstaafu JK Ni kuanzisha UDOM pamoja na kupata upinzani Kamati Kuu/Halmashauri Kuu.
#Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni#
Check your records again, BM mkapa (RIP) , yeye ndio ana influence kubwa sana katika kuanzishwa hiko chuo
 
Check your records again, BM mkapa (RIP) , yeye ndio ana influence kubwa sana katika kuanzishwa hiko chuo
Exactly, tatizo vijana hawajui kufuatilia issues, wanabeba juu juu bila uhakika
 
Nilidhani ungeleta source kumbe unapiga porojo
Yaani wewe pimbi bado unabisha kuwa BW Mkapa siye aliyeanzisha UDOM? Unataka source gani wakati sisi tuliokuwa kwenye mfumo tunakujuza?
 
Hakulazimika kuanzisha Chuo Kikuu kipya. Angeweza kukauka na hakuna kitu ungefanya
๐Ÿค๐Ÿค๐Ÿค๐Ÿค๐Ÿค๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Uko Sahihi kabisa, Hakulazimishwa Kwa hiyo Asijimwambafahi kabisa Yule Mkwele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ