Bila Neymar Jr, PSG anamtoa Real Madrid mapema tu!!



Pole sana mtabiri uchwara
 
Kwenye kikosi cha kwanza ulitabiri vizuri mkuu ila Matokeo ndio yamekuangusha.
 
Neymar ni average player overrated player hanaga impact yoyote ataishia kuwa kama robinho tu.

Mi wala simkubali huyu dogo ni vile anabahati tu ya upepo wa pesa kumpitia kutokana na sura ya mauzo aliyonayo .

Anajaribu kutaka kuwa ronadinho lakini hawezi kuwa .

Huu sio muda wa soka LA mbwembwe nyingi muda wa kupiga soka LA "basic" tu .

Wala asipangwe [emoji57]
 
mleta mada tunaomba mrejesho maana Dimaria alicheza au hakucheza?
 
Hii inanikumbusha utabiri wa Pele, ukitaka kuchana mikeka basi msikilize
 
Ha ha ha ha ha kweli mkuu,jana eti Shafih Dauda nae alisema ana imani Psg wanawatoa Madrid,kweli?
Shafih Dauda ni mpenzi mkubwa wa Barcelona, huwa nasikiliza uchambuzi wao wa michezo "Sports Bar" hasa linapokuja swala la ligi ya Hispania, Real Madrid hata akishinda magori mangapi coverage yake inakuwa kidogo, afungwe sasa ni balaa. Ila kama ni Blatterlona, Shafi utamsikia akiongea mpaka utasema naam, in short uchambuzi wa michezo wa vituo vingi vya habari za michezo imekaa kishabiki zadi kuliko kitaaluma.
 
Reactions: y-n
Well,ila Edga Kibwana wa Clouds Fm pamoja na George Ambalike wa Magic Fm nawakubali sana uchambuzi wao,wana-base katika facts na sio opinions zao.
Huwa hawako kishabiki kabisa,much credit to them.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…