Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,743
- 25,564
Wapi na wapi?Suti na raba?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapi na wapi?Suti na raba?
Mkuu unaniuliza au na wewe unashangaa kama mimi?Wapi na wapi?
NashangaaMkuu unaniuliza au na wewe unashangaa kama mimi?
Bora tushangae wote maana.Nashangaa
2 bila PSG anavuka acha kudanganya watuIkifungwa tatu bila ndio inatolewa? Psg alishakatiwa tiketi ya kurudi nyumbani mapemaaaaaa wiki chache zilizopita.
I bet CR7 anatupia mbili.
Wewe jidanganye na izo fixed zako za kipuuziFT RMADRID 2-0
[HASHTAG]#STAKEURGFRIEND[/HASHTAG]
Huyu jamaa ni fundi sana tofauti na kufizia tu ila mawindo anayajuaDaaah mbinu za ukweli kabisa hizi,lakini tatizo CR7 lazima avizie afunge angalau kimoja ndio shida itakapoanzia hapo.
Katika mafanikio ya PSG 2017/2018 Huwezi kumtoa Neymar watu wakakuelewa,PSG kupoteza mechi ya kwanza ilikuwa ni uzembe wa defense kujiamini kupita kiasi na kufanya makosa ya kijinga.Neymar ni kweli hakucheza vizuri mechi ya kwanza,ila siyo Guarantee kwamba hata Leo atacheza hivyo hivyo,Wachezaji wote wakubwa duniani siyo kila mechi huwa wanacheza vizuri,Siyo CR7 wala Messi wote kuna mechi huwa wanacheza vyongo utadhani hawapo uwanjani.Neymar bado ni mchezaji wa kutegemewa PSG.Tizama statistics zake hapo chini then unambie unaweza vipi kusema asipkuwepo timu ina uhakika wa kushinda.Labda tuongee kinazi.
https://www.whoscored.com/Players/50835/Show/Neymar
Mbona alifungwa na spurz?Madrid yupo radhi afungwe na timu ya ajabu ajabu ya ligi ya kwao lakini sio upande wa uefa!! Madrid ni timu nyingine kabisa kwenye swala uefa!!
Neymar hana tofauti na Beckham. Anatambia ustaa wa kusifiwa na waandishi wa habari.
overrated player ...zaid ya hapo Hanna kituNeymar hana tofauti na Beckham. Anatambia ustaa wa kusifiwa na waandishi wa habari.