HAKUNAMATATA
JF-Expert Member
- Jun 29, 2017
- 996
- 2,267
Huyo mpiga porojo jana nilimusikiliza, yeye na genge lake hua wanaongozwa na mahaba kuliko facts(mfano ukiangalia kwa mchezaji mmoja utaona Madrid ni bora kuliko Psg plus uzoefu na team player) na hata Madrid ifanye vizuri vipi coverage yake hua ni ndogo kwenye kipindi chao.Ha ha ha ha ha kweli mkuu,jana eti Shafih Dauda nae alisema ana imani Psg wanawatoa Madrid,kweli?
BTW, Madrid ndio timu kubwa ulaya kihistoria, acha waendelee na porojo.