Kwani timu inaundwa na wachezaji wangapi??Ukweli mtupu....kabla INIESTA, XAVI walibeba mafanikio ya Messi
Nini maana ya team sasa? kumbuka tunaishi kwa kutegemeana!Aliwahi kuhojiwa Ivan Rakitic Mchezaji wa Barcelona mzaliwa wa Croatia akakiri hakuna kazi ngumu kama kucheza na Wachezaji aina ya Messi,Neymar na Suarez
Ugumu wake wachezaji wa aina hiyo siyo wakabaji ivyo inabidi uzibe yale mapengo yao ili timu isilemewe na timu pinzani hivyo inakubidi uzunguke uwanja mzima kuziba yale mapengo yao..
Naimani hata Messi akisifiwa anaweza kukataa na badala yake akaelekeza sifa kwa wachezaji wenzake.
Hivyo tunavyompa sifa Messi tukumbuke hao wachezaji..
Wapo kina mascherano,banega nkKwani timu inaundwa na wachezaji wangapi??
Vipi kule Argentina hao akina xavi wapo?
Kwani timu inaundwa na wachezaji wangapi??
Vipi kule Argentina hao akina xavi wapo?
Kwani timu inaundwa na wachezaji wangapi??
Vipi kule Argentina hao akina xavi wapo?
we nae inaongea vitu gani mbona messi akiwa hayupo uwanjani ushindi wa barcelona unakuwa mgumu sana na mara nyingi huwa wanakuwa na wakati Mgumu! alafu acha kumfananisha messi na akina CR7 sio level zake messi level zake ni akina gaucho na maradona...tena koma kumfananisha mess na vitu vya kijingaEbu fananisha mafanikio aliyonayo kupitia timu ya taifa na yale ya klabu....
Tena nikienda mbali...kucheza klabu moja karibu na zaidi ya wachezaji sita uliokua nao kisoka timu moja, ambao kimsingi ni bora(viungo) kumechangia sana yeye kuwa hapo alipo.
Ibrahimovic na CR7 ni mfano wa watu wenye mafanikio makubwa sana kwa upande...kumzidi Messi ambaye kimsingi anabebwa na mengi
Ni maoni yake ndugu...msimu uliopita messi alikaa nje sana ila bado Neymar na Suarez walisaidia timu mpaka ikabeba kikombe cha laliga.we nae inaongea vitu gani mbona messi akiwa hayupo uwanjani ushindi wa barcelona unakuwa mgumu sana na mara nyingi huwa wanakuwa na wakati Mgumu! alafu acha kumfananisha messi na akina CR7 sio level zake messi level zake ni akina gaucho na maradona...tena koma kumfananisha mess na vitu vya kijinga
we nae inaongea vitu gani mbona messi akiwa hayupo uwanjani ushindi wa barcelona unakuwa mgumu sana na mara nyingi huwa wanakuwa na wakati Mgumu! alafu acha kumfananisha messi na akina CR7 sio level zake messi level zake ni akina gaucho na maradona...tena koma kumfananisha mess na vitu vya kijinga
Tatizo timu imeundwa kupitia Messi mfano unaeza kuta Neymar/Suarez wako kwenye nafasi nzuri ya kufunga ila wanampa pasi MessiMafanikio ya timu hupatikana kwa ushirikiano, hata hivi asipokuwepo mesi matokeo hua sio mazuri. Na akicheza messi peke ake pia hayatakua mazuri
[emoji115] "....bishana mpaka kufa...." na wewe ni wa slogan hiyo nadhani.we nae inaongea vitu gani mbona messi akiwa hayupo uwanjani ushindi wa barcelona unakuwa mgumu sana na mara nyingi huwa wanakuwa na wakati Mgumu! alafu acha kumfananisha messi na akina CR7 sio level zake messi level zake ni akina gaucho na maradona...tena koma kumfananisha mess na vitu vya kijinga
hatersEbu fananisha mafanikio aliyonayo kupitia timu ya taifa na yale ya klabu....
Tena nikienda mbali...kucheza klabu moja karibu na zaidi ya wachezaji sita uliokua nao kisoka timu moja, ambao kimsingi ni bora(viungo) kumechangia sana yeye kuwa hapo alipo.
Ibrahimovic na CR7 ni mfano wa watu wenye mafanikio makubwa sana kwa upande...kumzidi Messi ambaye kimsingi anabebwa na mengi
Messi anaongoza kwa assist haterTatizo timu imeundwa kupitia Messi mfano unaeza kuta Neymar/Suarez wako kwenye nafasi nzuri ya kufunga ila wanampa pasi Messi
Napenda teamwork
Mkuu huyu inanekana ni mtu wa vijiweni haangaliagi mpira....mwache aendelee na uHaterMessi anaongoza kwa assist hater
kuna watu hawaangalii mpira ila wanasubiri matokeo wabishanekila mtu huwa naona jinsi barca inavyopwaya kama messi hayupo alafu leo unaleta hoja kuwa sijui akina inesta yawezekana ni kweli messi anawategemea wachezaji uliowataja lakini sio sana kama ambavyo wao wanamtegemea messi hvyo ukitaka kuweka hitimisho hao wachezaji ndio wanamtegemea messi kuzidi yy anavyowategemea.
pili insu ya kukaba utakuwa unasimsingia messi ni tofauti na ma forward wengine kama Ibra,CR7 messi anakaba na mara nyingi huwa anatoka na mpira nyuma kabisa kutokana na uwezo wake wa kupiga chenga hiyo ina mpa advantage tofauti na wenzake
Nakubiliana na Wewe ila Rakitic mwenyewe alikiri kucheza na wachezaji type iyo lazima uwe na extrapowerkila mtu huwa naona jinsi barca inavyopwaya kama messi hayupo alafu leo unaleta hoja kuwa sijui akina inesta yawezekana ni kweli messi anawategemea wachezaji uliowataja lakini sio sana kama ambavyo wao wanamtegemea messi hvyo ukitaka kuweka hitimisho hao wachezaji ndio wanamtegemea messi kuzidi yy anavyowategemea.
pili insu ya kukaba utakuwa unasimsingia messi ni tofauti na ma forward wengine kama Ibra,CR7 messi anakaba na mara nyingi huwa anatoka na mpira nyuma kabisa kutokana na uwezo wake wa kupiga chenga hiyo ina mpa advantage tofauti na wenzake