bryan2
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 3,323
- 4,679
Aliwahi kuhojiwa Ivan Rakitic Mchezaji wa Barcelona mzaliwa wa Croatia akakiri hakuna kazi ngumu kama kucheza na Wachezaji aina ya Messi,Neymar na Suarez
Ugumu wake wachezaji wa aina hiyo siyo wakabaji ivyo inabidi uzibe yale mapengo yao ili timu isilemewe na timu pinzani hivyo inakubidi uzunguke uwanja mzima kuziba yale mapengo yao..
Naimani hata Messi akisifiwa anaweza kukataa na badala yake akaelekeza sifa kwa wachezaji wenzake.
Hivyo tunavyompa sifa Messi tukumbuke hao wachezaji..