Bila Rakitic,Iniesta,Bosquet Hakuna Messi

naona umejifanya haujaelewa nilichokuwa namaanisha........
Nani amekudanganya ili uwe bora lazima uhame club moja kwenda nyingine, je hujui kwamba kuna wale wanaohama na wengine kubaki kwa sababu wanazozijua wao?

sister hapa chini ninakuwekea sababu kadhaa zinazowafanya wachezaji kuhama na wengine kuamua kubakia kwenye timu moja . . ..

Maslahi / mshahara: Cr7 na Bale ni mfano tosha wa wachezaji waliohama kwa kutamanishwa fedha.

Uwezo; van Persie aliondoka Man Utd kutokana na uwezo wake kushuka ndani ya uwanja na hicho hicho ndicho kilichowakumba Fabregas & A. Song pale BARCELONA.

Nidhamu: Hii imewakumba wachezaji Wengi aina ya Ballotel , utukutu na ulevi umewafanya washindwe kudumu katika timu moja.

Mapenzi: kuna wachezaji wanahama kutokana na upenzi, mfano Mzuri ni Lewandowski kutoka Dortmund kwenda Fc Bayern, alihama kutokana na kuwa na mapenzi na the Bavarians..
 
Zamani ilikuwa bila etoo & Henry Messi hamna kitu,, ikaja bila xiavi & Iniesta Messi hamna kitu saivi wewe bila Iniesta busquet & Rakitic hamna kitu ila kumbuka mkuu hamna timu inayoingia uwanjani na mchezaji mmoja na maana ya timu ni kikundi cha watu kinachofanya kazi pamoja sasa unavyosema Messi hamna kitu bila hao watu ukumbuke hata hao watu hamna kitu bila ter stegen, Umtiti,, Alba, Roberto, Messi, Neymar, Suarez, sub zote benchi la ufundi hadi mafans
 
Reactions: PNC
Kwani timu inaundwa na wachezaji wangapi??

Vipi kule Argentina hao akina xavi wapo?
Argentina Messi amewahi kuzomewa na mashabiki kwa sababu performance take hailingani na anapocheza akiwa na Barca
 
Argentina Messi amewahi kuzomewa na mashabiki kwa sababu performance take hailingani na anapocheza akiwa na Barca
jiulize ni kwa nini sasa hivi hawamzomei, na wanamchukulia kama gwiji pekee kuwahi kutokea nchini kwake?
 
Mimi nashangaa wanaosema ili aonekane bora ahamie club nyingine! Na wengine wakithubutu kusema messi bila flani hamna kitu....duh huu sasa sio ushabiki jamani kama ndio ivo! Sasa mnataka messi aende tim gn kubwa zaidi ya Barcelona "the big club in the world"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…