Kwenye swala la uchezaji sijakataa kwamba Messi sio mchezaji mzuri, Messi anauwezo wa kuamua matokeo muda wowote ule.
Sidhani kama watu wamelewa Rakitic kamanisha nn hebu tafuta iyo habari usome sio kwamba messi ni mchezaji mbaya hapana ila unapocheza nao inabd muwe makini muda wote
Ukiangalia goli nyingi za barca anafungwa counter attack timu pinzani zinatumia mapungufu ya ukabaji wao na kupiga counter attack
Unajua lengo la uholanzi kuja na mfumo wa TOTAL FOOTBALL ni ili wachezaji wote wakabe na kushambulia ili kupunguza mzigo kwa mabeki na Viungo.
Naimani umenielewa halafu soma Kwanza Rakitic alimaanisha nini