Kama unaona mpira ndo uko hivo basi wachezaji wakali duniani ni Thomas Muller , mesui ozil na miloslav closer maana hawa wamebeba makombe kibao pia , bila kumsahau Gerard pique ndo best ever maana huyu kachukua kilaa kitu mkuu .. . Na kwa maana yako De lima atakuwa boya maana hana uefa ,yan anazidiwa na hao jamaa .Mabara kafanya nn fainali zote kafungwa na chile ya akina Vidal/Sanchez
World cup dhidi ya German Mario Gotze anawapiga aya tupe wewe kafanya nini
La msingi timu imeundwa kupitia Messi
Point...sijakataa kuwa Messi anajua