Bila Rakitic,Iniesta,Bosquet Hakuna Messi

Bila Rakitic,Iniesta,Bosquet Hakuna Messi

Mabara kafanya nn fainali zote kafungwa na chile ya akina Vidal/Sanchez

World cup dhidi ya German Mario Gotze anawapiga aya tupe wewe kafanya nini

La msingi timu imeundwa kupitia Messi

Point...sijakataa kuwa Messi anajua
Kama unaona mpira ndo uko hivo basi wachezaji wakali duniani ni Thomas Muller , mesui ozil na miloslav closer maana hawa wamebeba makombe kibao pia , bila kumsahau Gerard pique ndo best ever maana huyu kachukua kilaa kitu mkuu .. . Na kwa maana yako De lima atakuwa boya maana hana uefa ,yan anazidiwa na hao jamaa .
 
Dk 72 Valencia 2 Barca 2

1st goal Messi,Assist Ivan Rakitic
 
kama kweli messi ni mwanaume mwambie ahame ligi kama cr7 na kadabra na akiweza kuperfom kama ilivo baca basi hata gaucho hamuwezi uyo ness messi
 
Mabara kafanya nn fainali zote kafungwa na chile ya akina Vidal/Sanchez

World cup dhidi ya German Mario Gotze anawapiga aya tupe wewe kafanya nini

La msingi timu imeundwa kupitia Messi

Point...sijakataa kuwa Messi anajua
Mabara ilikuchukua Chile??unalijua kombe la mabara wewe??

Embu nenda kajipange tena ndio uje humu cz hauna data yan wew ni mtupu
 
Mabara ilikuchukua Chile??unalijua kombe la mabara wewe??

Embu nenda kajipange tena ndio uje humu cz hauna data yan wew ni mtupu
Nikuekee basi la Amerika ya Kusini (CONMEBOl) 2016 Host USA.

Alexis Sanchez anapiga Panenka Safi kabisa Romero anakosa la kufanya.

Jamaa Karibia wote wanakosa penalti
 
Mabara ilikuchukua Chile??unalijua kombe la mabara wewe??

Embu nenda kajipange tena ndio uje humu cz hauna data yan wew ni mtupu
Nalifahamu Ndugu linawakilishwa na Mshindi kutoka kila bara(Afrika Ivory coast),Europa(portugal),Amerika(Chile),New zealand,Australia,Mexico,Russia,German next final 2017 Russia

Afrika tusubiri fainali za 2017 kupata mwakilishi..
 
Aliwahi kuhojiwa Ivan Rakitic Mchezaji wa Barcelona mzaliwa wa Croatia akakiri hakuna kazi ngumu kama kucheza na Wachezaji aina ya Messi,Neymar na Suarez

Ugumu wake wachezaji wa aina hiyo siyo wakabaji ivyo inabidi uzibe yale mapengo yao ili timu isilemewe na timu pinzani hivyo inakubidi uzunguke uwanja mzima kuziba yale mapengo yao..

Naimani hata Messi akisifiwa anaweza kukataa na badala yake akaelekeza sifa kwa wachezaji wenzake.

Hivyo tunavyompa sifa Messi tukumbuke hao wachezaji..
Messi anashirikiana na timu...na hakuna mafanikio bila ushirikiano..messi ni messi tu yule bwana in 'gifted'dunia nzima inajua hivyo,halafu eti hakabi mbona vitu vya ajabu?hana ubinafsi!
 
Fainali makombe mawili ya Mabara Amerika Kapoteza Messi akiwa Ndani

Fainali na Ujerumani Mario Gotze anawanyima kombe Messi akiwa ndani

Analeta Impact gani??
Ronaldo kaingia fainal ngapi akiwa na ureno?
 
Dk 72 Valencia 2 Barca 2

1st goal Messi,Assist Ivan Rakitic
Hebu eleza Leo mchezaji bora wa hii mechi ,, nibgependa uelezee ile penalt mepatikanaje .... Teh teh kama nilivyokwambia jana nafikiri umeona messi anavyoleta difference ..
 
Hamna kitu kibaya duniani kama unafki.
We ndugu huna hoja umekalia Maneno kama unafiki sijui nini

Mwite kwanza Rakitic mnafiki mchezaji mwenzake aliyesema hayo

Wewe huwa hulali nini sio muda wote niko Jamii forum.

Aya final result Vale 2 Barca 3
Messi kafunga mawili,Suarez moja
 
Hebu eleza Leo mchezaji bora wa hii mechi ,, nibgependa uelezee ile penalt mepatikanaje .... Teh teh kama nilivyokwambia jana nafikiri umeona messi anavyoleta difference ..
1477202269553.jpg
ukisoma hapo utapata majibu nani mchezaji bora Ndugu
 
Final result Vale 2 Barca 3

goal dk 90 messi penalt after suazer kucheleawa rafu
Yan namaanisha kabla ya Suarez kuchezewa rafu uliona messi alivyopangua beki zile .. hiyo ndo tofauti ya messi na wachezaji wengine . Pass kila mtu anapiga lakini linapokuja suala la maamuzi sahihi messi kawaacha mbali wenzake na huu ndo uchezaji bora
 
Kwenye swala la uchezaji sijakataa kwamba Messi sio mchezaji mzuri, Messi anauwezo wa kuamua matokeo muda wowote ule.

Sidhani kama watu wamelewa Rakitic kamanisha nn hebu tafuta iyo habari usome sio kwamba messi ni mchezaji mbaya hapana ila unapocheza nao inabd muwe makini muda wote

Ukiangalia goli nyingi za barca anafungwa counter attack timu pinzani zinatumia mapungufu ya ukabaji wao na kupiga counter attack

Unajua lengo la uholanzi kuja na mfumo wa TOTAL FOOTBALL ni ili wachezaji wote wakabe na kushambulia ili kupunguza mzigo kwa mabeki na Viungo.

Naimani umenielewa halafu soma Kwanza Rakitic alimaanisha nini
 
MSM ni washambuliaji, kuzuia sio kazi yao, na pili formation ya barca ni 4-3-3, na pattern ni 1-8-1
 
Yan namaanisha kabla ya Suarez kuchezewa rafu uliona messi alivyopangua beki zile .. hiyo ndo tofauti ya messi na wachezaji wengine . Pass kila mtu anapiga lakini linapokuja suala la maamuzi sahihi messi kawaacha mbali wenzake na huu ndo uchezaji bora
Kaka uliona lile Goal lake la 3 dhidi ya Man City jinsi alivyomfanya kipa?
 
Back
Top Bottom