Bila Rakitic,Iniesta,Bosquet Hakuna Messi

Sio kauzu fc

Unajua kwann Mata japo ni mchezaji mzuri ila Mourhino alimuuza akiwa Chelsea kuja Man utd.

Unajua kwann Pogba anapata shida kidogo man utd...
mi niulize kuhusu messi usiniulize kuhusu mata ko na ujinga wa mourinho
 
  • Thanks
Reactions: PNC
mi niulize kuhusu messi usiniulize kuhusu mata ko na ujinga wa mourinho
Tunarudi pale pale Mata alikua hakabi

Pogba alikua amezungukwa na watu kama kina Claudio Marchisio/pirlo jukumu la kukaba lilikuwa kidogo sana

Kaja man utd kapewa jukumu la kukaba

Kama umeingia game ya jana Carrick kacheza no 6 pogba kaachwa awe free that why kapiga mwingi jana

Maneno ya Owen Hagrevas Pogba na Carrick wacheze pamoja.

Huwezi kuizungumzia barca bila kumtaja Sergio bosequet yule ndo mtibua mipango yote ya timu pinzani
 
Muda mwingine tuwe wakweli tu!! kwani kuna timu ambayo haina mtu mwenye majukumu ya kutibua mbinu za wapinzani? Man U vs Liverpool umeangalia mpira umeona jinsi Felain anavyotibua mipango ya wapinzania hizo kila mtu uwanjani anamajukumu yake aliyopewa na mwalimu hivo kumkosoa fulani kisa yupo fulani ni ujinga.... Messi kwa Barca ni mtu anaetegemewa kuanzisha mashabulizi na unaweza kuona jinsi gani akiwa na mpira anavyoweza kufungua mabeki na ndio kitu ambacho kina credity kubwa kule mbele
 
Naunga mkono hoja ndugu sijakataa Messi ni mchezaji aliyekamilika ndo maana anashinda tuzo mbalimbali

Rakitic katoa maoni yake kwa yeye aliyeyaona wakiwa kama teammate na siyo yeye tu pamoja na Neymar/Suarez

Njoo pale Madrid Chistian anafunga ndiyo ila kuna mtu anaitwa Modric yeye huwezi sikia akizungumzwa sana
 
Tunarudi pale pale Mata alikua hakabi

Pogba alikua amezungukwa na watu kama kina Claudio Marchisio/pirlo jukumu la kukaba lilikuwa kidogo sana

Kaja man utd kapewa jukumu la kukaba

Kama umeingia game ya jana Carrick kacheza no 6 pogba kaachwa awe free that why kapiga mwingi jana

Maneno ya Owen Hagrevas Pogba na Carrick wacheze pamoja.

Huwezi kuizungumzia barca bila kumtaja Sergio bosequet yule ndo mtibua mipango yote ya timu pinzani
unashauli nini sasa? unahitaji messi awe anakaba? hata mfumo wa barca hautiji hivyo, wanautawala sana mpira na wanashambulia mda wote, ndio maana suarezi alikuwa anakaba liver lakini alivyoenda barca aka lelax... soccer ni mfumo usiishi kwa kukalili broh.
 
Aya mfanyakazi wa superspost 3.

Tupe maoni yako Ndugu sijui umetumia vigezo gani kusema sijui mpira

Ok wewe unajua
Jifunze kwanza Philosophy ya Barca ndio itayo kupa majibu mazuri.
 
unashauli nini sasa? unahitaji messi awe anakaba? hata mfumo wa barca hautiji hivyo, wanautawala sana mpira na wanashambulia mda wote, ndio maana suarezi alikuwa anakaba liver lakini alivyoenda barca aka lelax... soccer ni mfumo usiishi kwa kukalili broh.
Game ya dhidi ya Celta vigo barca anakula 4-3 kama kumbukumbu zangu ziko vizuri ndo game Messi alipata injury.

Iniesta/Rakitic hawakuanza ile game alianza Sergio timu ilicheza ovyo sana hasa upande wa kiungo,Iago Aspas alikua huru sana

Ila baada ya Iniesta kuingia timu ikarudi mchezoni na kufanikiwa kurudisha goli tatu...

Ushauri tukubali Rakitic kasema ukweli mtupu
 
Wakujifunza mimi au Rakitic??ok labda ungetaka Rakitic asemaje?
Well both of you... Mpo wrong. Wewe na huyo Rakitic wako.
Na jibu ni lile lile refer kwenye philosophy ya Barca.
 
Umekua Luis Enrique nini??

Kama Rakitic ameweza kuingia kwenye mfumo na kuwa mchezaji tegemeo kosa lake liko wapi??

Philosophy ya barca ni kuposses mpira kwa muda mrefu ila huwezi kukaa na mpira muda mrefu kama hukabi...

Ndo maana wakikutana na timu zinazokaba sana wanapata shida anza na Atl.Madrid

Alipigwa bao 4 na 3 mtawalia na bayern munich kwa makosa ayo ayo ya kutokukaba....
 
Ebu fananisha mafanikio aliyonayo kupitia timu ya taifa na yale ya klabu....

Tena nikienda mbali...kucheza klabu moja karibu na zaidi ya wachezaji sita uliokua nao kisoka timu moja, ambao kimsingi ni bora(viungo) kumechangia sana yeye kuwa hapo alipo.

Ibrahimovic na CR7 ni mfano wa watu wenye mafanikio makubwa sana kwa upande...kumzidi Messi ambaye kimsingi anabebwa na mengi

umesahau na pogba
 
Game ya dhidi ya Celta vigo barca anakula 4-3 kama kumbukumbu zangu ziko vizuri ndo game Messi alipata injury.

Iniesta/Rakitic hawakuanza ile game alianza Sergio timu ilicheza ovyo sana hasa upande wa kiungo,Iago Aspas alikua huru sana

Ila baada ya Iniesta kuingia timu ikarudi mchezoni na kufanikiwa kurudisha goli tatu...

Ushauri tukubali Rakitic kasema ukweli mtupu
Ukiambiwa mpira umeanza kuufuatilia juzi unabisha huyo messi aliye umia kwenye game ya celta vigo ni messi yupi???

Kwa taarifa yako messi alipata injury kwenye game ya atletical Madrid na alikaa njee week 3.

My take:jaribu kufanya uchunguzi kabla hauja toa mawazo yako alafu humu sio fb
 
Ebu fananisha mafanikio aliyonayo kupitia timu ya taifa na yale ya klabu....

Tena nikienda mbali...kucheza klabu moja karibu na zaidi ya wachezaji sita uliokua nao kisoka timu moja, ambao kimsingi ni bora(viungo) kumechangia sana yeye kuwa hapo alipo.

Ibrahimovic na CR7 ni mfano wa watu wenye mafanikio makubwa sana kwa upande...kumzidi Messi ambaye kimsingi anabebwa na mengi
Naona ugonjwa ya ebora unakusumbua mkuu.
 
Ni maoni yake ndugu...msimu uliopita messi alikaa nje sana ila bado Neymar na Suarez walisaidia timu mpaka ikabeba kikombe cha laliga.

Ushindi unakua mgumu kwa sababu timu imeundwa kupitia Messi
Argentina nayo imeundwa kupitia Messi?
 
Tatizo timu imeundwa kupitia Messi mfano unaeza kuta Neymar/Suarez wako kwenye nafasi nzuri ya kufunga ila wanampa pasi Messi

Napenda teamwork
Mimi ni Barca fan, hapa umeongea hovyo kabisa na nnahisi una kitu moyoni juu ya Messi.

Unasema Neymar na Suarez wapo kwenye nafasi nzuri ila hawafungi kisa Messi hayupo??? Hivi unajua kwanini hiyo BBC ya bwana ako ronaldo haina makali kama MSN richa ya BBC kuundwa kwa pesa ndefu!?

Unajua Neymar na Suarez wamepata assist ngapi kutoka kwa Messi!? Umehifikiria kwanini Messi dhidi ya Man City ameamua kumpa Neymar apige Penalty, na kama unaangalia Mechi za Barca, sio mara ya kwanza Messi kufanya hivi.

Ushawahi muona Messi amekasirika kisa mchezaji mwingine kafunga!? Je, kwa Ronaldo ushawahi kuona?
 
Mkuu huyu inanekana ni mtu wa vijiweni haangaliagi mpira....mwache aendelee na uHater
Kinachowaumiza ni kwamba Messi anagonga Hat Trick dhidi ya timu kubwa sio kama ronaldo.
 
Back
Top Bottom